Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Kwa TL hao ni mabeberu, kwa JPM hao ni washirika!!!! Unafiki gani huu??? Kwa faida ya nani hasa??
 
Ni kweli kaka yangu
Singida wanalima na mbaazi pia Manyoni na Itigi kuna mashamba makubwa ya korosho baada ya miaka mitatu ijayo huenda maeneo hayo wakawa ndio wazalishaji wakubwa wa korosho kwasababu hali ya hewa ni nzuri na mashamba yanatunzwa kisasa
 
Pongezi kwake Rais Magufuli kwa kuwaletea kilimo cha mbaazi na korosho

Mtumie vizuri hiyo fursa
Singida wanalima na mbaazi pia Manyoni na Itigi kuna mashamba makubwa ya korosho baada ya miaka mitatu ijayo huenda maeneo hayo wakawa ndio wazalishaji wakubwa wa korosho kwasababu hali ya hewa ni nzuri na mashamba yanatunzwa kisasa
 
Yaani hivi kweli Nchi imeanza kupendeza hivi eti muwape chadema watuharibie na warudishe mabeberu kutunyonya .Magu anashinda mchana kweupe na hata kama asingeshinda kuliko Nchi iendee kwa vichaa nikipata nafasi nakimbia na sanduku la kura.ushindi ni mapema kabisa!
 
Niwie radhi kaka yangu mimi sipo kwenye mambo ya siasa

Ila kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura

Mimi nimeleta maoni ya watu
Umewauliza ndugu zako au watu wa karibu kama wanakuona bado una akili timamu? Mara nyingi watu wenye tatizo la afya ya akili, kila kitu wanakiona tofauti na wale wenye akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hivi kweli Nchi imeanza kupendeza hivi eti muwape chadema watuharibie na warudishe mabeberu kutunyonya .Magu anashinda mchana kweupe na hata kama asingeshinda kuliko Nchi iendee kwa vichaa nikipata nafasi nakimbia na sanduku la kura.ushindi ni mapema kabisa!
Nchi imependezaje wakati wananchi wanakufa njaa. Elimu haina maana tena ajira hakuna miaka mitano.
 
Niwie radhi kaka yangu mimi sipo kwenye mambo ya siasa

Ila kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura

Mimi nimeleta maoni ya watu
We kima vijana gani uliowauliza? Wadogo zako nyumbani au?

Hivi mbona mwaka huu inaonekana maccm hamtaki kujionesha waziwazi yaani mnakuwa mazezeta Kama vile mmeazimisha akili kwa watu wengine mkabaki makopo tu kichwani🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom