Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Huo utamblisho tupeni sauti ya lugha tumsikie anavyo pasua yai mbona mnaficha ze yuzi to dai ni zisi liva
 
Kama unasubiri kuajiriwa kwenye karne hii ambapo benki zinaongeza ATM mashine zenye kupokea nakutoa pesa, mamlaka za maji zinaweka mita za maji kama zile za luku, Rwanda wametengeneza roboti za kuhudumia wagonjwa wa corona,nk, nk wewe ni KILAZA!
We ndo fala kweli! Inategemeana na profession. Walimu wanakuwa trained kufindisha. Na madaktari kutibu. Mbona jk alimanage kuwaajili kwani hili li jpm limepatwa na nini. So aseme nchi imemshinda wachukue wanaoweza mithili ya jk
 
Siku ukijifunza kuukubali ukweli hata kama unauma utakuwa umevuka hatua kubwa....mimi ni mtumishi, kuna siku tuliomba kuongezewa watumishi katika idara yetu kisa kuna "shortage" tuliambiwa tupeleke takwimu ya wateja tunaowahudumia kwa miezi mitatu, ajabu ilionekana kumbe hata watumishi waliopo wanazidi...mwakani naacha kazi kama unaweza njoo pm nikupe mchongo wa kuchukua nafasi yangu kama una vigezo! KUAJILIWA NI UTUMWA!
 
Sasa we huioni tayari umezikusanya za kujiajiri. Fikiria anayemaliza Leo Hana hata elfu kumi mfukoni. Acha mawazo ya ubinafsi we dogo
 
Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni
1. Bw. David William Concar, Uingereza
2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan
3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland).

Maneno ya Balozi wa Uingereza

Mara baada ya kutoka kukabidhi hati ya Ubalozi balozi amesema anatumaini uchaguzi utakuwa huru na haki na utamalizika salama. Aliulizwa namna anavyoweza kuuzungumzia uchumi wa Tz amesema badi anajifunza lakini anaona sio mbaya kwa kuweka umeme kwenye vijiji na kujenga miundombinu kama barabara

Balozi wa Pakistan, amesema Tanzania ni nchi nzuri sio tu kwa sekta ya utalii bali pia kwa uwekezaji na sayansi, amesema ametembelea maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Kilimanjaro, nk na ameona ni nchi inayovutia sana

View attachment 1591143View attachment 1591144
Lugha iliyotumika hapo maana naona mkalimani[emoji1]
 
Hawa jamaa wanafikiri wazungu wote hawajijui kwamba wanawaita Mabeberu!! yaani dume la Mbuzi kongwe siyo!!
Kwani uwongo,mzungu ni beberu.Mzungu si mtu wa kuamini hata kidogo.Anae mkumbatia Mzungu ni kukosa kumbukumbu.
DRC ya mabeberu mabelgigi iliwafanyia wakongo kitu mbaya kuliko Adolf Hitler alivyowafanyia Wayahudi.
King Leopold wa Belgium aliua wakongoman milioni 20,kama haitoshi miaka ya 60,serikali ya Belgium ilimtumbukiza waziri mkuu Patrick Lumumba kwenye tindikali ya conc Sulphuric acid akayeyuka kabisa.
Walimgoa meno kabla ya kumtubukiza kwenye tindikali,ndio juzi binti yake ameomba serikali ya ubelgigi impe jino lake walilongoa wakimtesa kabla ya kumuua.
Siamini kuwa wabelgigi walimpenda Lissu HAPANA hadi leo wanawanyanyasa wacongo vibaya sana.Hadi leo hawajaomba msamaha kwa makosa waliowafanyia DRC,wala hakuna fidia kwa unyama wa mtu mweupe aliomfanyia mwafrika mweusi.
 
Sawa ni majukum ya mwishoni mwisho kabla bwana Lissu hajatamalaki
Lissu kashindwa kutamalaki Ufipa, ndio atamalaki ikulu?. Unachekesha Sana, hapo mpaka mumtoe Mbowe ndio Chadema irudi kwenye ramani na kumtoa hamuwezi maana ndiye mwenye chama. Mtajuta.
 
Lissu kashindwa kutamalaki Ufipa, ndio atamalaki ikulu?. Unachekesha Sana, hapo mpaka mumtoe Mbowe ndio Chadema irudi kwenye ramani na kumtoa hamuwezi maana ndiye mwenye chama. Mtajuta.
Mbona hata jpm anamwogopa lisu sasa. So alisema Hana haha ya kumpiga kampeni ameshapita. Mbona anahaha kuwatumia akina mahela wamsaidie
 
Unamwona mtu na akili zake timamu anaingia Ikulu kwa kuziba pua na vitambaa lakini baada ya kutoka amekuwa ameondoa vitambaa puani. Je, alikwenda kutafuta tiba huko? Je, imekuwaje hasa?

Watanzania wanaendelea kupiga mluzi tu, mwisho wa siku tutaelewana.
 
Back
Top Bottom