mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Heko Serikali kubaini chanzo cha vurugu uwanja wa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangepiga marufuku washabiki tuu kuingia......halaf kuanzia sasa....wawe wanaweka polisi wengi kule kwa mashabiki pia ili mharifu ashikwe mapema.....Kamera ziwekwe Kuna watu wote lakin na polisi wawekwe wengi ndani ya mashabiki ili kuwadhibiti......polis 200 wanatosha kudhibiti na kukamata wavunja viti .......
Kwa sasa adhabu inayofaa SIMBA na YANGA ni kucheza bila mashabiki kwa timu hizi kila wanapotumia viwanja vya Taifa iwe uhuru ama uwanja wa Taifa......
Kuwaelimisha mashabiki?are serious?Watatumia uwanja gani? Wekeni njia mbadala za
kutatua matatizo kama ya kadi, kuwaelimisha mashabiki na wakifanya uharibifu basi mzuie pesa zao lakini sio kusema wote waadhibiwe kuto tumia uwanja wa taifa sabb ya wavuta bangi wachache.....
Hakuna wafungiwe kabisa wakachezee kwingine huo upumbavu na ushenzi uliopitiliza,halafu inatoa sura gani kwa mataifa ya nje kimichezo?Kufungia timu kutumia uwanja sio sawa. Mashabiki ndio wanatakiwa wafungiwe. Timu zicheze bila mashabiki. Hiyo ndio adhabu tosha kwa mashabiki.
Hiyo Huwezi linganisha na uhuni wa jana.Wakati mwinyi yupo rais wa tanzania aliwahi kuhudhuria mechi ya simba na yanga
Ile mechi haikumalizika mwenyekiti wa yanga wakat huo bw tarimba aliamuru timu yake itoke nje kabla ya mpira kwisha
Mwinyi alichukulia ni hali ya mpira tu
Magu angefanyaje...
Usilete siasa bhana.Wamewafungia cha serikali ili watumie bus ccm wapate mapato, ilitakiwa wafungie mashabiki kuingia uwanjani mechi znazowausu apa dar
Soka lina mihemko zaidi ya hivi unavyofikiri.Refa hamfundishi mtu ustaarabu Simba ni wahuni tu mbona Yanga ilipigwa 5-1 na wachezaji wao 2 wakapigwa red card hawakung'oa kiti hata kimoja??
Eti gharama ya kupachika kiti laki mbili! Hiki kiti cha laki mbili wanakijua au wanataka kupiga dili?duuuuuuuuuuuuh
Si walikuwa wanazimia kila goli likipigwa sasa nguvu ya kung'oa viti na kurusha uwanjani wangeitoa wapi!? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haWashabiki wa Yanga ni waataarabu sana hata pale wachezaji wawili wa Yanga walipigwa red card kupelekea Yanga kufungwa 5-1 hawakung'oa kiti hata kimoja
[emoji41] Kwani wao kina nani katika nchi hii kwamba hawaguswi..?Hapo mkulu kakamapa pabaya simba na yanga huwa hawajalibiwi.
Kuwaelimisha mashabiki?are serious?