Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Wangepiga marufuku washabiki tuu kuingia......halaf kuanzia sasa....wawe wanaweka polisi wengi kule kwa mashabiki pia ili mharifu ashikwe mapema.....Kamera ziwekwe Kuna watu wote lakin na polisi wawekwe wengi ndani ya mashabiki ili kuwadhibiti......polis 200 wanatosha kudhibiti na kukamata wavunja viti .......

Kwa sasa adhabu inayofaa SIMBA na YANGA ni kucheza bila mashabiki kwa timu hizi kila wanapotumia viwanja vya Taifa iwe uhuru ama uwanja wa Taifa......
 
Hizi timu zina miaka zaidi ya miaka 55 sasa, hivyo ni bora kuhakikisha zina viwanja vyao vya mpira.
 
Watatumia uwanja gani? Wekeni njia mbadala za
kutatua matatizo kama ya kadi, kuwaelimisha mashabiki na wakifanya uharibifu basi mzuie pesa zao lakini sio kusema wote waadhibiwe kuto tumia uwanja wa taifa sabb ya wavuta bangi wachache.....
Kuwaelimisha mashabiki?are serious?
 
Kwani wahalifu hawajakamatwa...
Si wasilisema kunawalinzi au fix.tu
 
Kufungia timu kutumia uwanja sio sawa. Mashabiki ndio wanatakiwa wafungiwe. Timu zicheze bila mashabiki. Hiyo ndio adhabu tosha kwa mashabiki.
Hakuna wafungiwe kabisa wakachezee kwingine huo upumbavu na ushenzi uliopitiliza,halafu inatoa sura gani kwa mataifa ya nje kimichezo?
 
Wakati mwinyi yupo rais wa tanzania aliwahi kuhudhuria mechi ya simba na yanga

Ile mechi haikumalizika mwenyekiti wa yanga wakat huo bw tarimba aliamuru timu yake itoke nje kabla ya mpira kwisha

Mwinyi alichukulia ni hali ya mpira tu

Magu angefanyaje...
Hiyo Huwezi linganisha na uhuni wa jana.
 
Ni wakati wa sasa TFF wakishirikiana na bodi ya ligi waangalie uwezekano wa kupata referee wa derby ya Simba na Yanga awe anatoka nje ya Tanzania. Ukiangalia kwa makini maaumizi ya referee yalichangia uharibifu huo wa kung'olewa kwa viti.
 
Refa hamfundishi mtu ustaarabu Simba ni wahuni tu mbona Yanga ilipigwa 5-1 na wachezaji wao 2 wakapigwa red card hawakung'oa kiti hata kimoja??
Soka lina mihemko zaidi ya hivi unavyofikiri.
 
Itangazwe hali ya tahadhari uwanja wa taifa si salama kwa watu wa mikoani!

Huu uwanja wa taifa uhamishiwe Dodoma au Arusha ndiyo sehemu zilizo salama kwa sasa!
 
Dawa ni timu kuingia uwanjani bila mashabiki ili iwe funzo
 
Washabiki wa Yanga ni waataarabu sana hata pale wachezaji wawili wa Yanga walipigwa red card kupelekea Yanga kufungwa 5-1 hawakung'oa kiti hata kimoja
Si walikuwa wanazimia kila goli likipigwa sasa nguvu ya kung'oa viti na kurusha uwanjani wangeitoa wapi!? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Bora timu zote za yanga na simba wasitumie tena uwanja wa taifa waende kwenye zege
 
Jamani ushauri wangu kwanini zoezi la tiketi za electronic lisiwe linafanyika mapema kwenye mechi ndogondogo ili wafanye tathmini nzuri?
 
Back
Top Bottom