Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naiponda serkal kwa kutengeneza viti visivyo imara. OvaKuna watu mtaiponda serikali kwa hili lakini mimi naiunga mkono 100%. Watanzania imejaa wajinga wengi sana, viwanja vikiwa hamna wa kwanza kulaumu serikali, sasa vimetengenezwa mnaanza tabia za nyani mnavunja viti makusudi, alafu waafrika wakiitwa nyani wanakua wa kwanza kulalamika, hehehe! hizi tabia ni za myama gani sasa?
iKuna viti vingi tu vimeachana na vyuma vya kufungia!
Ndo uchumi wa dunia ya 3 kaka..... hata serikali kuna mengi tu hawajatenda... tunashare kilichopo....Kwani ni jukumu la serikali kuwatafutia Simba na Yanga mahali pa kuchezea.Klabu hizi zimekuwepo miaka mingi na zimelala kwa sababu serikali inafanya majukumu yao badala ya wao kujitegemea.Watacheza hata viwanja vya tandika huko ambako hakuna viti.Wanaudhi sana. Pesa yote hiyo ingeweza kufanya mambo ya maana kabisa.
Kweli mkuu umenifurahisha... lakini mimi na mwingine tutaadhibiwa kwa kosa la yule...Washabiki wa Dar wapewe adhabu, mechi za simba na yanga zipelekwe mikoani ambako hamna viti kama kirumba, waende wakabomoe lile zege la kukalia.
Mi naiponda serkal kwa kutengeneza viti visivyo imara. Ova
Pamoja na refarii kuwa na poor performance haitoi kibali kwa washabiki kufanya fujo na kuharibu mali.Waamuzi nao wanachangia kwa kiasi kikubwa huu ujinga kutokea. Nao wapewe adhabu kali. Na hasa kufungiwa maisha.
ila wale mashabiki wa simba ni watu wa ajabu sana ustaarabu zero, walipe tu
Unaandika upuuzi weweWakati mwinyi yupo rais wa tanzania aliwahi kuhudhuria mechi ya simba na yanga
Ile mechi haikumalizika mwenyekiti wa yanga wakat huo bw tarimba aliamuru timu yake itoke nje kabla ya mpira kwisha
Mwinyi alichukulia ni hali ya mpira tu
Magu angefanyaje...
Chadema ndio simba au yanga.Mbona unapuyanga saana[emoji57] [emoji57] [emoji57]Sawa uwanja si wa kwao,kuna shida gani
Na nyie chadema mjenge ofisi zenu,ufipa majirani walikua hawana amani na ukuta wenu