Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Washabiki wa Yanga ni waataarabu sana hata pale wachezaji wawili wa Yanga walipigwa red card kupelekea Yanga kufungwa 5-1 hawakung'oa kiti hata kimoja
Ilikuwa 5-0. Na yote yalikuwa safi. Red card nazo zilikuwa hazina utata.
 
hawa washenzi wote wafungiwe tuu ili washike adabu... walinisikitisha sana tena sana jana...
 
Mwambieni Nape tunataka bunge live.
Mapato ya Jana yanunue viti watoke mkono mitupu.
 
Kosa alilofanya mkude ( kumpiga mtama refa) na kupelekea kulimwa red card ndiyo kilichopeleke uvunjikaji wa amani, hivyo TFF inapaswa imfungie kucheza soka maisha, hakuna kuzungusha zungusha maneno apo!
 
Duuh hapo itabidi waende uhuru ambako pitch yake ni mbovu sana ile.
Na vilabu vyetu vipate akili vijenge viwanja zao sasa naamini ule ungekuwa uwanja wa simba ingekuwa ni ngum washabiki kung'oa viti hata kama wana hasira kias gani

Ni ushamba tu. wabongo bado tupo nyuma sana kwenye maendeleo ya soka.
 
Kosa alilofanya mkude ( kumpiga mtama refa) na kupelekea kulimwa red card ndiyo kilichopeleke uvunjikaji wa amani, hivyo TFF inapaswa imfungie kucheza soka maisha, hakuna kuzungusha zungusha maneno apo!
Aloanza uhuni ni refa ndo afungiwe maisha, unakumbuka nyi mlivomgawana refa kwa ushenzi kama huu au mkuki kwa nguruwe?
 
Wakati mwinyi yupo rais wa tanzania aliwahi kuhudhuria mechi ya simba na yanga

Ile mechi haikumalizika mwenyekiti wa yanga wakat huo bw tarimba aliamuru timu yake itoke nje kabla ya mpira kwisha

Mwinyi alichukulia ni hali ya mpira tu

Magu angefanyaje...
Naomba rekodi ikae sawa timu iliyowahi kukimbia uwanjani wakati huo NI simba ambayo mpaka wakati wa mapumziko walikuwa wamefungwa mabao mawili kwa bila,walipokwenda kwenye vyumba vya ndani ya uwanja hakukurudi tena uwanjani .HIYO ndiyo stories.
 
Ushabiki wa mpira hapa TZ n wa kishamba sana. Uwanja umewekezwa kwa fedha nyingi lakini kimuhemuhe cha watu wachache kinatuletea hasara.

Na waharibifu wengi huwa siyo walipa kodi. Rais anaimba kila siku mambo haya lakini watu hawaelewi.


Back to Dodoma
 
Kwahyo uwaja utakuwa wa kazi gani?

Kumbe kweli akili ni nywele.

Ni sawasawa na Et kwa kuwa mkono umekufanya uibe unatoa uamuzi wa kukata mkono.

Tz Is in a big mess of decision maker.
 
Kuna watu mtaiponda serikali kwa hili lakini mimi naiunga mkono 100%. Watanzania imejaa wajinga wengi sana, viwanja vikiwa hamna wa kwanza kulaumu serikali, sasa vimetengenezwa mnaanza tabia za nyani mnavunja viti makusudi, alafu waafrika wakiitwa nyani wanakua wa kwanza kulalamika, hehehe! hizi tabia ni za myama gani sasa?
 
Viti ni vizima tusikuze mambo sehemu za kufungia bolts ni laini sana ukivuta tu kiti kinaachana na bolt lakini vile viti ni vizima tu
 
Back
Top Bottom