Sawa uwanja si wa kwao,kuna shida gani2020 watabadili msimamo!
Na nyie chadema mjenge ofisi zenu,ufipa majirani walikua hawana amani na ukuta wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa uwanja si wa kwao,kuna shida gani2020 watabadili msimamo!
Ilikuwa 5-0. Na yote yalikuwa safi. Red card nazo zilikuwa hazina utata.Washabiki wa Yanga ni waataarabu sana hata pale wachezaji wawili wa Yanga walipigwa red card kupelekea Yanga kufungwa 5-1 hawakung'oa kiti hata kimoja
Kwa hiyo unasemaje sasa?Washabiki wa Yanga ni waataarabu sana hata pale wachezaji wawili wa Yanga walipigwa red card kupelekea Yanga kufungwa 5-1 hawakung'oa kiti hata kimoja
Kosa alilofanya mkude ( kumpiga mtama refa) na kupelekea kulimwa red card ndiyo kilichopeleke uvunjikaji wa amani, hivyo TFF inapaswa imfungie kucheza soka maisha, hakuna kuzungusha zungusha maneno apo!
Duuh hapo itabidi waende uhuru ambako pitch yake ni mbovu sana ile.
Na vilabu vyetu vipate akili vijenge viwanja zao sasa naamini ule ungekuwa uwanja wa simba ingekuwa ni ngum washabiki kung'oa viti hata kama wana hasira kias gani
Aloanza uhuni ni refa ndo afungiwe maisha, unakumbuka nyi mlivomgawana refa kwa ushenzi kama huu au mkuki kwa nguruwe?Kosa alilofanya mkude ( kumpiga mtama refa) na kupelekea kulimwa red card ndiyo kilichopeleke uvunjikaji wa amani, hivyo TFF inapaswa imfungie kucheza soka maisha, hakuna kuzungusha zungusha maneno apo!
Mapato yanatosha kabisa na change inarudi!Mwambieni Nape tunataka bunge live.
Mapato ya Jana yanunue viti watoke mkono mitupu.
Naomba rekodi ikae sawa timu iliyowahi kukimbia uwanjani wakati huo NI simba ambayo mpaka wakati wa mapumziko walikuwa wamefungwa mabao mawili kwa bila,walipokwenda kwenye vyumba vya ndani ya uwanja hakukurudi tena uwanjani .HIYO ndiyo stories.Wakati mwinyi yupo rais wa tanzania aliwahi kuhudhuria mechi ya simba na yanga
Ile mechi haikumalizika mwenyekiti wa yanga wakat huo bw tarimba aliamuru timu yake itoke nje kabla ya mpira kwisha
Mwinyi alichukulia ni hali ya mpira tu
Magu angefanyaje...
mhhhh kile kiti kimoja cha plastic sh 200,000 ? changa la macho hili