johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kivipi bwashee?!Magufuli kakurupuka tena
Wapo watu kibao wanasota mahabusu tena kwa amri yake!Kivipi bwashee?!
Hao makosa yao yako dhahiri!Wapo watu kibao wanasota mahabusu tena kwa amri yake!
Hili jina ndiyo nalisikia leo!Atangaze pia kumuachia Rwegamalila.
Sasa kwanini wanaipinga bakwata?Waachie masheikh zaidi ya 70 huko Arusha ambao wako ndani bila kosa lenye mashiko, eti kosa lao ni kuipinga BAKWATA