Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

Huyu huwa hajielewi,hata ruge na seth wangeachiwa ili upelelezi uendelee ila adui zake unatupwa ndani bila upelelezi
Tumia ubongo basi jamaa, yani wahujumu uchumi wa nchi wamekuwa adui wa magufuli ni sio adui wawatanzania.kazi ya kichwa mnatumia matako.
 
Mnafki anatafuta huruma ya waislamu, mbona mmiliki wa scolastica hakutoa agizo kama hilo?
 
Ni nani alimkamata kabla ?, Kwanini alimkamata ?, na kama alifanya kosa la kumkamata wakati hakutakiwa kumkamata basi hajui kazi yake...., Inabidi tufike wakati kila Taasisi ifanye kazi zake kwa weledi na sio kukumbushwa au kuambiwa na mtu, haya mambo ya mtu kuwapangia wataalamu wa kazi fulani..... either hao wataalamu hawajui kazi zao au anayeingilia anaharibu utaratibu...
 
Huo ndo uzuli wa huyu mzee mwenzangu japo ana mapungufu yake kama binadam lakini moyo wa huruma anao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…