Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

Nao ni wafiwa? Maana huyu ni mfiwa, moto umeua watoto wake
Mfiwa iyo huruma kaianza lini

Mbona kabendera alikua mahabusu na alifiwa na mama yake lakini hakuachiwa

Haki huinua Taifa
 
Rais wa wanyonge
Kwanini uyo mwalimu alikamatwa

1. Kama ni kwa ajili ya usalama je atampa walinzi wakumlinda.

2.kama anakosa la kujibu kwanini wamuachie Kati ni mtuhumiwa.

Kwanini walimkamata????

Au Kiki
Au uoga wa maaskari
Au

Haki huinua Taifa
 
Kwa mamlaka aliyonayo anaweza kugeuza hata aliyehukumiwa kunyongwa achilia mbali kesi ipo mahakamani
Magufuli siku hizi kawa sheria??

Sheria zinasema wazi kwamba watuhumiwa na washitakiwa wanastahili dhamana!

Sasa huyu magufuli katokea wapi tena?

Ndio kutaka kusema kwamba bila yeye watu hawawezi kuachiliwa?
 
kwa hili, I strongly support the president, sijui hawa watu JPM aliwaokota wapi? Mmiliki wa shule unaweza kuhujumu shule yako uliyoianzisha kama kitega uchumi?
Siku hizi uwezo wa kufikiri wa siro umeshuka kwa kasi, JPM fikiria kutafuta replacement.
 
Unatumia kigezo gani kusema hazina mashiko? Tuwekee hapa hati ya mashitaka ili tujiridhishe comrade.

Mmewabambikia wengi sana na wengine mmewaachia kwa mgongo wa DPP.
 
Mmewabambikia wengi sana na wengine mmewaachia kwa mgongo wa DPP.
Leta ushahidi comrade maneno matupu ya nini? Hatupo kwenye vijiwe vya kahawa hapa ukisema jambo leta na ushahidi wake mbona ni rahisi tu.
 
Sero ya tanzania unawekwa kwa usalama wako? Kama ni kwa usalama wao kwanini wasiwaweke Sheraton kwa gharama zao? Madness
 
Leta ushahidi comrade maneno matupu ya nini? Hatupo kwenye vijiwe vya kahawa hapa ukisema jambo leta na ushahidi wake mbona ni rahisi tu.

Wale mlio waambie waombe msamaha na kurudisha walicho kwiba ndio muwasamehe ,walikuwa ni kina nani ?.
 
BAKWATA Inajaribu kuingilia mambo ya Taasisi nyingine za waislamu ambazo nazo zipo kisheria, wakipinga hilo, BAKWATA inaenda kwa "handlers" wake yaani Serikaki ya CCM kuwashughulikia kinyume cha haki
Bakwata ni taasisi ya ccm tu siyo waislam kama ni ya wislam umesikia nani aliyenyanyua kauliyake kuwatetea mashekhe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hajaamuru wale masheikh waa uamsho wawe nje? hii nayo si kuingilia kazi za watu ? usawa!!
 
Mbona hajaamuru wale masheikh waa uamsho wawe nje? hii nayo si kuingilia kazi za watu ? usawa!!!!
Angeamuru wale masheikh wa uamsho wawe nje usingehoji kuwa anaingilia kazi za watu?
 
Uonevu wa kijinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…