Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

Hawajasamehewa, wamekiri makosa, wameadhibiwa kurejesha peasa waliyoihujumu serikali na wamelipushwa faini. Bahati mbaya hakuna sheria ya plea bargain kwa Magaidi.
Kama hao mashekh ni magaidi si wapelekwe mahakamani.

Kinashindikana nini kupelekwa mahakamani?
sisiemu na bakwata lao moja ujinga mtupu
 
Chama cha Mbowe kimapenda show off Sana. Mara kkoo, mara mlimani city, mara kwenye mataa na uwanja wa ndege hizi zote ni kupoteza muda tu. Wekeni Sera zenu mezani watanzania wazione sio janja janja.
Vipi chama cha chakubanga
 
Back
Top Bottom