Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Source Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
Kitu hicho, kura hiyo kwa waislamu!
 
I had to laugh! Amesema atamleta nani? Uchaguzi huwa unawafanya watu wanapoteza ufahamu au
Kwani unadhani kuna nini? Magufuli bado mpaka 25, hayo mengine ni kukamilisha ratiba tu?
Nyie badala ya kuwaza wabunge mnapata wangapi wewe unawaza uraisi?
Subiri 28 mdo utajua hao mliokuwa mnawaona kwenye mkutano huwa wapowapo tu.
Na wengine wanapenda kushuhudia nini kipo hapo na ni lazima aende.
 
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Source Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
Alikuwa kwenye ziara ya kichama au kiserikali? Kazi kweli kweli kutenganisha hivi vyeo!
 
Kesi za uhujumu uchumi zishuhulikiwe haraka,wakikiri kosa wasamehewe

Kesi za mashekh wetu kimyaaaa.

Hapo ndiyo utajua siasa za majitaka za ccm
Muwe manawauliza wabunge wenu, walipotunga sheria ya 'plea bargain' walijumuisha na makosa kama ya hao Masheikh wanaohusishwa na ugaidi?
 
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Source Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
Anatumia msikiti kutafta huruma ya waislamuu?
 
Kwa kuwa msikiti huo umejengwa kwa msaada kutoka kwa Mfalme wa Morocco hivyo tunalazimishwa uje kuzinduliwa na Mfalme wa Morocco. Sasa nawaza ule msikiti wa pale Dodoma tuliosaidiwa na waumini wa kanisa katoliki, huenda Askofu Pengo akaitwa kuja kuuzindua.

Awamu ya tano imewafanya waislamu kuwa duni, maskini na wanyonge sana.
 
Mfalme wa Moroko akija amuulize kwenye baraza la Mawaziri la Magufuli alikuwa na Waisilamu wangapi
 
Huyo mfalme akija Novemba atapokelewa rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Tundu Antipas Lissu.
 
Kwa kuwa msikiti huo umejengwa kwa msaada kutoka kwa Mfalme wa Morocco hivyo tunalazimishwa uje kuzinduliwa na Mfalme wa Morocco. Sasa nawaza ule msikiti wa pale Dodoma tuliosaidiwa na waumini wa kanisa katoliki, huenda Askofu Pengo akaitwa kuja kuuzindua.

Awamu ya tano imewafanya waislamu kuwa duni, maskini na wanyonge sana.
Kwani kuna dhambi gani kardinali Pengo kuzindua msikiti?
 
Kuna tofauti kati ya Rais Magufuli na Dr Magufuli!

Aliyetembelea msikiti ni Rais Magufuli na yule wa kwenye kampeni ni Dr Magufuli ambaye leo alikuwa wilayani ubungo.
Nilijua hii ndio itakuwa hoja yako katika kujibu , ila ukweli hii ni kampeni tu na hamna lingine.
 
Muwe manawauliza wabunge wenu, walipotunga sheria ya 'plea bargain' walijumuisha na makosa kama ya hao Masheikh wanaohusishwa na ugaidi?
Tuwaulize wabunge wapi hawa wa ccm? Kila hoja ndiyo na kupigamakofi juu ya meza kupongeza!
 
Vipi kagusia suala la kuwaachia masheikh wetu kule Segerea. Au hapo kaendelea kusimama kwenye ule msimamo wake.
Kwani aliwaweka yeye? ukikamatwa kwa amri ya Rais hutoki Hadi aamue hatakama alishatoka madarakani,
 
Maisha yanaenda kasi sana , habari kama hizo Makonda anaziona kwenye tiiviii... dah
 
Back
Top Bottom