Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Tundu Lissu ni Rais wa nchi ganiIko kwenye ratiba?Kuumbuka ume-comment kushangaa Lissu kutaka kutembelea uwanja wa ndege Chato ukidai ratiba yake ya kampeni haina kipengele cha yeye kutembelea huo uwanja.
Kitu hicho, kura hiyo kwa waislamu!Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.
Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar
Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.
Source Ikulu, Dsm.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani unadhani kuna nini? Magufuli bado mpaka 25, hayo mengine ni kukamilisha ratiba tu?I had to laugh! Amesema atamleta nani? Uchaguzi huwa unawafanya watu wanapoteza ufahamu au
Alikuwa kwenye ziara ya kichama au kiserikali? Kazi kweli kweli kutenganisha hivi vyeo!Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.
Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar
Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.
Source Ikulu, Dsm.
Maendeleo hayana vyama!
Muwe manawauliza wabunge wenu, walipotunga sheria ya 'plea bargain' walijumuisha na makosa kama ya hao Masheikh wanaohusishwa na ugaidi?Kesi za uhujumu uchumi zishuhulikiwe haraka,wakikiri kosa wasamehewe
Kesi za mashekh wetu kimyaaaa.
Hapo ndiyo utajua siasa za majitaka za ccm
KabisaKuna tofauti kati ya Rais Magufuli na Dr Magufuli!
Aliyetembelea msikiti ni Rais Magufuli na yule wa kwenye kampeni ni Dr Magufuli ambaye leo alikuwa wilayani ubungo.
Akikujibu nitagLisu unamfananisha na rais?
Wa saccos ya mtaa wa ufipaKwani tundu lisu ni raisi wa nchi gani
Anatumia msikiti kutafta huruma ya waislamuu?Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.
Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar
Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.
Source Ikulu, Dsm.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kuna dhambi gani kardinali Pengo kuzindua msikiti?Kwa kuwa msikiti huo umejengwa kwa msaada kutoka kwa Mfalme wa Morocco hivyo tunalazimishwa uje kuzinduliwa na Mfalme wa Morocco. Sasa nawaza ule msikiti wa pale Dodoma tuliosaidiwa na waumini wa kanisa katoliki, huenda Askofu Pengo akaitwa kuja kuuzindua.
Awamu ya tano imewafanya waislamu kuwa duni, maskini na wanyonge sana.
Nilijua hii ndio itakuwa hoja yako katika kujibu , ila ukweli hii ni kampeni tu na hamna lingine.Kuna tofauti kati ya Rais Magufuli na Dr Magufuli!
Aliyetembelea msikiti ni Rais Magufuli na yule wa kwenye kampeni ni Dr Magufuli ambaye leo alikuwa wilayani ubungo.
Tuwaulize wabunge wapi hawa wa ccm? Kila hoja ndiyo na kupigamakofi juu ya meza kupongeza!Muwe manawauliza wabunge wenu, walipotunga sheria ya 'plea bargain' walijumuisha na makosa kama ya hao Masheikh wanaohusishwa na ugaidi?
Kwani aliwaweka yeye? ukikamatwa kwa amri ya Rais hutoki Hadi aamue hatakama alishatoka madarakani,Vipi kagusia suala la kuwaachia masheikh wetu kule Segerea. Au hapo kaendelea kusimama kwenye ule msimamo wake.
Hahahaaaa...... Maisha yana kupanda na kushuka bwashee!Maisha yanaenda kasi sana , habari kama hizo Makonda anaziona kwenye tiiviii... dah
Sheikh Zuberi ni mnafiki sana tuVipi kagusia swala la kuwaachia masheikh wetu kule segerea. Au hapo kaendelea kusimama kwenye ule msimamo wake.