Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

Hata amlete papa hatumchagui tena Magufuli hatumtaki
 
Hivi kuna kiongozi yeyote mkubwa toka Tanzania alishawahi fadhiri ujenzi au msaada wowote mkubwa kwa nchi yeyote rafiki wa Tanzania?
 
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Source Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
Kama watu wanashawishiwa kupigia kura viongozi kwa vitu vidogo kama hivi ndio maana Warabu walituchukua utumwani
 
Kwa kuwa msikiti huo umejengwa kwa msaada kutoka kwa Mfalme wa Morocco hivyo tunalazimishwa uje kuzinduliwa na Mfalme wa Morocco. Sasa nawaza ule msikiti wa pale Dodoma tuliosaidiwa na waumini wa kanisa katoliki, huenda Askofu Pengo akaitwa kuja kuuzindua.

Awamu ya tano imewafanya waislamu kuwa duni, maskini na wanyonge sana.
Atakuja Papa mwenyewe maana utakuwa Msikiti wa kwanza duniani kujengwa na Wakristo.
 
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Source Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
Msikiti wa Waislam wote maana yake nn? Wewe manaswara una matatizo sana
 
Tuwaulize wabunge wapi hawa wa ccm? Kila hoja ndiyo na kupigamakofi juu ya meza kupongeza!
Mantiki sio kupiga makofi, bali sheria ya plea bargain iliyopitishwa na hao wapiga makofi, inahusu makosa gani?
 
Mantiki sio kupiga makofi, bali sheria ya plea bargain iliyopitishwa na hao wapiga makofi, inahusu makosa gani?
Sitaki kujua kama hy plea bargain ilitugwa kwahao wahujumu uchumi
Kinacho nishangaza ni hao walio itia umasikini nchi kesi zao kusikilizwa na kuamuliwa mapema au kusamehewa mapema ila mashekh wetu kesi zao mpaka leo hakuna ushahidi nabado wapo mahabusu.

It's not right.
 
Ni jambo la kheri kwa Rais wetu.
Lipi la kheri hapo tunachotaka ni haki,na uhuru,ndugu zetu mashekh wapo segerea watolewe au wahukumiwe,kuna ndugu zetu wameokotwa wamekufa,wengine wamepewa kesi za utakatishaji fedha za uongo atupe majibu yanayoeleweka,kama hao wasiojulikana hawapatika ni au ameshindwa kuwapata,sio kujidai kutembelea msikitini
 
Sitaki kujua kama hy plea bargain ilitugwa kwahao wahujumu uchumi
Kinacho nishangaza ni hao walio itia umasikini nchi kesi zao kusikilizwa na kuamuliwa mapema au kusamehewa mapema ila mashekh wetu kesi zao mpaka leo hakuna ushahidi nabado wapo mahabusu.

It's not right.
Hawajasamehewa, wamekiri makosa, wameadhibiwa kurejesha peasa waliyoihujumu serikali na wamelipushwa faini. Bahati mbaya hakuna sheria ya plea bargain kwa Magaidi.
 
Unafiki mtupu!Ameshawaachia wale Masheikh wa uamsho anaowashikilia bila mashtaka?
 
Waislam wa siku hizi wapole sana! kafiri anatembelea msikiti?
Tunategemea misaada ya Kafir kujenga misikiti?
Astaghfirullah
 
Muwe manawauliza wabunge wenu, walipotunga sheria ya 'plea bargain' walijumuisha na makosa kama ya hao Masheikh wanaohusishwa na ugaidi?
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Source Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo mfalme wa Morocco anasaidia nini waislam ambao mashekhe wao wanaozea jela kwa uonevu na kesi za kutunga zilizokosa ushahidi kwa miaka kadhaa sasa?
 
Mahakama ni muhimili unaojitegemea!
Bwashee Mahakama ilipotoa amri wakazi wa Kimara wasibomolewe nyumba zao na amri hiyo raisi akaikiuka, huo muhimili ulikuwa bado haujajitegemea eeh??

Pia Rais alipotoa amri watuhumiwa wakubali/ wakiri makosa yao na kulipa pesa wawe huru bado mahakama kama muhimili ulikuwa haujajitegemea?
 
Back
Top Bottom