Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama watu wanashawishiwa kupigia kura viongozi kwa vitu vidogo kama hivi ndio maana Warabu walituchukua utumwaniRais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.
Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar
Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.
Source Ikulu, Dsm.
Maendeleo hayana vyama!
Atakuja Papa mwenyewe maana utakuwa Msikiti wa kwanza duniani kujengwa na Wakristo.Kwa kuwa msikiti huo umejengwa kwa msaada kutoka kwa Mfalme wa Morocco hivyo tunalazimishwa uje kuzinduliwa na Mfalme wa Morocco. Sasa nawaza ule msikiti wa pale Dodoma tuliosaidiwa na waumini wa kanisa katoliki, huenda Askofu Pengo akaitwa kuja kuuzindua.
Awamu ya tano imewafanya waislamu kuwa duni, maskini na wanyonge sana.
Msikiti wa Waislam wote maana yake nn? Wewe manaswara una matatizo sanaRais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.
Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar
Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.
Source Ikulu, Dsm.
Maendeleo hayana vyama!
Mantiki sio kupiga makofi, bali sheria ya plea bargain iliyopitishwa na hao wapiga makofi, inahusu makosa gani?Tuwaulize wabunge wapi hawa wa ccm? Kila hoja ndiyo na kupigamakofi juu ya meza kupongeza!
Sitaki kujua kama hy plea bargain ilitugwa kwahao wahujumu uchumiMantiki sio kupiga makofi, bali sheria ya plea bargain iliyopitishwa na hao wapiga makofi, inahusu makosa gani?
Lipi la kheri hapo tunachotaka ni haki,na uhuru,ndugu zetu mashekh wapo segerea watolewe au wahukumiwe,kuna ndugu zetu wameokotwa wamekufa,wengine wamepewa kesi za utakatishaji fedha za uongo atupe majibu yanayoeleweka,kama hao wasiojulikana hawapatika ni au ameshindwa kuwapata,sio kujidai kutembelea msikitiniNi jambo la kheri kwa Rais wetu.
Hakuna lolote akitoa kauli kuwa fanyeni linalowezekana kesi hii ifike mwisho na haki itendeke mbona itakwisha kama watafungwa au wataachiwa sio kuwatesa watu tuu.Mahakama ni muhimili unaojitegemea!
Hawajasamehewa, wamekiri makosa, wameadhibiwa kurejesha peasa waliyoihujumu serikali na wamelipushwa faini. Bahati mbaya hakuna sheria ya plea bargain kwa Magaidi.Sitaki kujua kama hy plea bargain ilitugwa kwahao wahujumu uchumi
Kinacho nishangaza ni hao walio itia umasikini nchi kesi zao kusikilizwa na kuamuliwa mapema au kusamehewa mapema ila mashekh wetu kesi zao mpaka leo hakuna ushahidi nabado wapo mahabusu.
It's not right.
Wale bokoharam ?Vipi kagusia swala la kuwaachia masheikh wetu kule segerea. Au hapo kaendelea kusimama kwenye ule msimamo wake.
Kwani ameenda Kama mgombea?Iko kwenye ratiba?
Mbona TAL anaenda kwa Bagonza Mara kibao kipindi hiki?Kwenye nyumba za Ibada kipindi hiki!!!!!
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuuMuwe manawauliza wabunge wenu, walipotunga sheria ya 'plea bargain' walijumuisha na makosa kama ya hao Masheikh wanaohusishwa na ugaidi?
Huyo mfalme wa Morocco anasaidia nini waislam ambao mashekhe wao wanaozea jela kwa uonevu na kesi za kutunga zilizokosa ushahidi kwa miaka kadhaa sasa?Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.
Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar
Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.
Source Ikulu, Dsm.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee Mahakama ilipotoa amri wakazi wa Kimara wasibomolewe nyumba zao na amri hiyo raisi akaikiuka, huo muhimili ulikuwa bado haujajitegemea eeh??Mahakama ni muhimili unaojitegemea!