Hawajasamehewa, wamekiri makosa, wameadhibiwa kurejesha peasa waliyoihujumu serikali na wamelipushwa faini. Bahati mbaya hakuna sheria ya plea bargain kwa Magaidi.
Chama cha Mbowe kimapenda show off Sana. Mara kkoo, mara mlimani city, mara kwenye mataa na uwanja wa ndege hizi zote ni kupoteza muda tu. Wekeni Sera zenu mezani watanzania wazione sio janja janja.