Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.


Huu ndiyo ujinga mkubwa wa watanzania hata kama wamesoma, LAZIMA watafanya kazi kwa mazoea, sasa sijuwi walijifunza nini huko mashuleni kwao.
 

Nenda kachimbe viazi ww peasant. Ww unapima hoja umekuja na marking scheme humu ndani? Nani kasema rais ni mbaya? Au unachomeka ili ionekane anayeandamwa ni rais tu humu ndani? Ni nani asiyejadiliwa humu ndani? Kaa kushoto hoja zimekuzidi kimo ww dogo.
 
Huyu ndie aliesemaga kwa kua Michango ya Wanachama ni 20% na wakistaafu watapatiwa kwanza 25% ambayo imeshapita Michango yao basi hawana haja ya kulalamika. Toka siku ile najaribu kupiga hesabu zangu ili nmuelewe lakini nimeshindwa.
huyo mama I kisaka hajui ADDITIONAL MATHEMATICS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unakumbuka Mafuru wakati yuko Hazina pale kama msajili alikataa wazi wazi issue ya Rais kukataa Taasisi za Serikali kufungua fixed account kwenye Benki za Biashara, mafuru aliuambia umma kwa taasisi ya serikali kufungua fixed account kwenye benki ya biashara sio kosa, sasa hawa ndo wasomi tunaowataka aina ya kina Mafuru, ni watu ambao wanasimamia kile wanachokiamini sio huyu dada mwenye PHD ya mkorogo.
 
Thank you so much. Laiti ungejua kulima viazi kunavyonipa maisha mazuri na sina frustration kama zako baada ya mirija yako ya ufisadi kukatwa! Na bado... mwaka ujao utaishi kwa kulamba vidonda kama inzi!
 
Huyo mama is so arrogant halafu anaongea upupu mwingi tofauti na hiyo PhD tunayoambiwa anayo. Hatakiwi kupewa position ambayo inahitaji akili na umakini kufanya maamuzi, wamtafutie cheo cha kimihemko mihemko labda ubunge wa kuteuliwa
 
Halafu wapinzani wanadai demokrasia hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…