Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Mjomba umeuwa bendiSasa anakuja kua mtumishi wa kawaida si tumuulize kikotoo kipi kinafaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjomba umeuwa bendiSasa anakuja kua mtumishi wa kawaida si tumuulize kikotoo kipi kinafaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kachumiaje tumbo?
Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.
Why not! Where else do you think i put my ''load of bollocks'' for you to clean?This is polishing a turd the likes of which I haven't seen before. Load of bollocks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nakuunga mkono kwa mara ya kwanzaNadhani Mhagama angekuwa wa kwanza halafu team yake.
Masikini dada yetu ulikuwa na kiherehere sana ona umekuwa mbuzi wa kafara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajadili chochote ni sawa lakini kwa hoja, tena tukitumia akili na siyo kwa kufuata mkondo kama nyumbu! Wewe kila kitu unafuata mkondo bila kuwa na hoja za msingi. Kwako wewe mwenye akili ni yule anayesema Magufuli ni mbaya. Sasa kama kusema ukweli ni kuvugwa basi acha nivurugwe lakini jua hii ni awamu nyingine siyo ile uliyokuwa umezoea!
huyo mama I kisaka hajui ADDITIONAL MATHEMATICSHuyu ndie aliesemaga kwa kua Michango ya Wanachama ni 20% na wakistaafu watapatiwa kwanza 25% ambayo imeshapita Michango yao basi hawana haja ya kulalamika. Toka siku ile najaribu kupiga hesabu zangu ili nmuelewe lakini nimeshindwa.
Kama unakumbuka Mafuru wakati yuko Hazina pale kama msajili alikataa wazi wazi issue ya Rais kukataa Taasisi za Serikali kufungua fixed account kwenye Benki za Biashara, mafuru aliuambia umma kwa taasisi ya serikali kufungua fixed account kwenye benki ya biashara sio kosa, sasa hawa ndo wasomi tunaowataka aina ya kina Mafuru, ni watu ambao wanasimamia kile wanachokiamini sio huyu dada mwenye PHD ya mkorogo.Mimi sitetei alichokifanya, bali sikubaliana kuhusu kubebeshwa lawama za kikokotoo cha mafao. Yeye kazi yake ni kupendekeza kwa waziri na kama waziri akikataa basi hapo ndipo tungepima ni kwa nini hakujiuzulu.
Wanasiasa ndiyo hupeleka mawazo yao kwa wataalamu na wataalamu hutengeneza mambo kutokana na mahitaji ya wanasiasa. Ukiwa mjamaa utatengenezewa jambo la kijamaa na ukiwa bepari utatengenezewa jambo la kibepari hata kama mtaalamu ni yule yule mmoja!!
Thank you so much. Laiti ungejua kulima viazi kunavyonipa maisha mazuri na sina frustration kama zako baada ya mirija yako ya ufisadi kukatwa! Na bado... mwaka ujao utaishi kwa kulamba vidonda kama inzi!Nenda kachimbe viazi ww peasant. Ww unapima hoja umekuja na marking scheme humu ndani? Nani kasema rais ni mbaya? Au unachomeka ili ionekane anayeandamwa ni rais tu humu ndani? Ni nani asiyejadiliwa humu ndani? Kaa kushoto hoja zimekuzidi kimo ww dogo.
kipara anatafuta kiki
Hata akipata kazi nyingine atakuwa amejifunza, hata siku moja usicheze na mwanasiasa."She has been Sacrified for Empty"....Soon GOD will make another way...
Sent using Jamii Forums mobile app
*Yaani Dr Irene anaanza kufaidi fao la kukosa ajira* [emoji15]Mhe. Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Dkt. Irene Isaka
kanuni hutungwa hukooo Na hupelekwa Bungeni for reviewing only zikiwa tayari zimetungwaFicha upumbavu wako huo..huyo dada ndo alitunga na kupitisha zile kanuni?