Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Aliesaini na ikawa sheria rasmi nae ajitumbue asijifanye kama alikuwa hajui kitu
 
Huyu dada alipokuwa akijielezea na nilipoona watu wengi ukumbini wanajitengeneza na kukaa vizuri nilifahamu kwamba hiki kikao kilikuwa ni cha kumkaanga tu ili kuja kumfyeka na si vinginevyo.
 
Sasa kama tatizo ni kanuni, mtunga kanuni ambaye ni waziri anabakije kwa mfano?
Tatizo wewe ni mfuata mkumbo na ukiambiwa unatukana. Hivi kwenye hiyo barua ya utenguzi rais ameeleza sababu ya kumtengua? Inawezekana hata sababu isiwe hiyo na alishaonekana hana ufanisi wa kutosha kwenye utendaji!
 
Hiyo huwa ni statement tu kuua soo. Ninawafahamu vigogo watatu “walioenguliwa” kwa gear ya kupangiwa kazi nyingine tangu mwaka jana. Wapo tu wizarani wanasugua benchi huku wakisoma magazeti.
Lakini mshahara pale pale. Wangesema amefukuzwa kazi ndio hapewi mshahara. Wewe unadhani yeye ndio alijifanyia maamuzi binafsi?
 
Jumba bovu limemuangukia yy pole yake akaribie uraini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you so much. Laiti ungejua kulima viazi kunavyonipa maisha mazuri na sina frustration kama zako baada ya mirija yako ya ufisadi kukatwa! Na bado... mwaka ujao utaishi kwa kulamba vidonda kama inzi!

Ni sawa na haitakuwa haramu inzi kufia kwenye hicho kidonda vile vile. Huku ukija kuuza face utapata tabu sana. Ni uwanja wa wrestling, unapigwa mtama, ngumi, na viti na kama vipi mpaka mashabiki wanaingilia. Sasa ww kuja kulilia kama uko kwenye paper la Math kisha unaona swali la geography utashangaa. Hili game tuff dogo.
 
ni watu ambao wanasimamia kile wanachokiamini sio huyu dada mwenye PHD ya mkorogo.
Hapa mazingira ni tofauti kabisa. Hebu fikiria kwamba unaletewa hoja kwamba mifuko haina fedha na lazima mafao yalipwe, tengeneza kanuni itakayowezesha wastaafu walipwe fedha zilizopo halafu mbele ya safari watalipwa fedha zitakapo patikana. Sasa hapo si lazima Kikokotoo kibadilishwe na fao la kujitoa liondolewe!
 
Nadhani mkandarasi aliyeelimika na kujua majukumu yake hawezi kukubali amri za kijinga hata kama zimetolewa na mwenye mali! Hilo ndilo jambo la kujifunza.
True. Ila hata wewe ukiwa na njaa huwezi jua unaweza kukubali au kakataa lipi. Usiombe majaribu ya njaa. Jaribu lingine baya ni woga.
 
Kwako wewe ni ''game tuff'' kwa sababu ya uwezo!
 
Tatizo wewe ni mfuata mkumbo na ukiambiwa unatukana. Hivi kwenye hiyo barua ya utenguzi rais ameeleza sababu ya kumtengua? Inawezekana hata sababu isiwe hiyo na alishaonekana hana ufanisi wa kutosha kwenye utendaji!

Umetukanwa wapi, au unajistukia jomba? Sasa kama huna hakika na sababu ya kumuengua unatuelewesha nini?
 
Kosa la huyu Dr Irene Isaka ni lipi sasa?

Huenda ameangalia sana maslahi ya waajiri kuliko wafanyakazi husika na kuwasahau madhila wanayopata kwenye kupata mafao madogo.

Na hiyo ni kushinikizwa na waajiri hao kuweka kikokotoo cha asilimia ndogo.
 
alishindwa vipi kujiuzulu kwa nafasi aliyonayo? na kama pesa zilikuwa hazipo leo Rais amewaambia watumie kikokotozi cha zamani je hizi pesa zimepatikana wapi ndani ya muda mfupi?
 
Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Sio anajichanganya uyo alikuwa anashinikizwa na wanasiasa sasa nafsi ilikuwa inafanya kitu anajua si sawa. Hapo katolewa kafara tu mmeacha kimjadili aliesaini sheria na kuipitisha tena mnampongeza kabisa
 
Umetukanwa wapi, au unajistukia jomba? Sasa kama huna hakika na sababu ya kumuengua unatuelewesha nini?
Mazee kumbe hujui hata unachosimamia? Haki ya nani kuwa fuata mkumbo ni shida tupu. Sasa wewe ulikuwa unabishia nini?
 
Huenda ameangalia sana maslahi ya waajiri kuliko wafanyakazi husika na kuwasahau madhila wanayopata kwenye kupata mafao madogo.

Na hiyo ni kushinikizwa na waajiri hao kuweka kikokotoo cha asilimia ndogo.
good answer for him/her
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…