Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Aliesaini na ikawa sheria rasmi nae ajitumbue asijifanye kama alikuwa hajui kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wewe ni mfuata mkumbo na ukiambiwa unatukana. Hivi kwenye hiyo barua ya utenguzi rais ameeleza sababu ya kumtengua? Inawezekana hata sababu isiwe hiyo na alishaonekana hana ufanisi wa kutosha kwenye utendaji!Sasa kama tatizo ni kanuni, mtunga kanuni ambaye ni waziri anabakije kwa mfano?
Lakini mshahara pale pale. Wangesema amefukuzwa kazi ndio hapewi mshahara. Wewe unadhani yeye ndio alijifanyia maamuzi binafsi?Hiyo huwa ni statement tu kuua soo. Ninawafahamu vigogo watatu “walioenguliwa” kwa gear ya kupangiwa kazi nyingine tangu mwaka jana. Wapo tu wizarani wanasugua benchi huku wakisoma magazeti.
Halafu mdada wa Watu yupo vizuri kichwaniKuna wapumbavu watakuja kumsifia jiwe kwa kumtengua .
Yaani ni aibu kufanya siasa za kishamba kwenye ulimwengu wa technology
Jumba bovu limemuangukia yy pole yake akaribie urainiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.
Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority - JamiiForums
Thank you so much. Laiti ungejua kulima viazi kunavyonipa maisha mazuri na sina frustration kama zako baada ya mirija yako ya ufisadi kukatwa! Na bado... mwaka ujao utaishi kwa kulamba vidonda kama inzi!
Hapa mazingira ni tofauti kabisa. Hebu fikiria kwamba unaletewa hoja kwamba mifuko haina fedha na lazima mafao yalipwe, tengeneza kanuni itakayowezesha wastaafu walipwe fedha zilizopo halafu mbele ya safari watalipwa fedha zitakapo patikana. Sasa hapo si lazima Kikokotoo kibadilishwe na fao la kujitoa liondolewe!ni watu ambao wanasimamia kile wanachokiamini sio huyu dada mwenye PHD ya mkorogo.
True. Ila hata wewe ukiwa na njaa huwezi jua unaweza kukubali au kakataa lipi. Usiombe majaribu ya njaa. Jaribu lingine baya ni woga.Nadhani mkandarasi aliyeelimika na kujua majukumu yake hawezi kukubali amri za kijinga hata kama zimetolewa na mwenye mali! Hilo ndilo jambo la kujifunza.
Kwako wewe ni ''game tuff'' kwa sababu ya uwezo!Ni sawa na haitakuwa haramu inzi kufia kwenye hicho kidonda vile vile. Huku ukija kuuza face utapata tabu sana. Ni uwanja wa wrestling, unapigwa mtama, ngumi, na viti na kama vipi mpaka mashabiki wanaingilia. Sasa ww kuja kulilia kama uko kwenye paper la Math kisha unaona swali la geography utashangaa. Hili game tuff dogo.
Tatizo wewe ni mfuata mkumbo na ukiambiwa unatukana. Hivi kwenye hiyo barua ya utenguzi rais ameeleza sababu ya kumtengua? Inawezekana hata sababu isiwe hiyo na alishaonekana hana ufanisi wa kutosha kwenye utendaji!
Kosa la huyu Dr Irene Isaka ni lipi sasa?
alishindwa vipi kujiuzulu kwa nafasi aliyonayo? na kama pesa zilikuwa hazipo leo Rais amewaambia watumie kikokotozi cha zamani je hizi pesa zimepatikana wapi ndani ya muda mfupi?Hapa mazingira ni tofauti kabisa. Hebu fikiria kwamba unaletewa hoja kwamba mifuko haina fedha na lazima mafao yalipwe, tengeneza kanuni itakayowezesha wastaafu walipwe fedha zilizopo halafu mbele ya safari watalipwa fedha zitakapo patikana. Sasa hapo si lazima Kikokotoo kibadilishwe na fao la kujitoa liondolewe!
Sio anajichanganya uyo alikuwa anashinikizwa na wanasiasa sasa nafsi ilikuwa inafanya kitu anajua si sawa. Hapo katolewa kafara tu mmeacha kimjadili aliesaini sheria na kuipitisha tena mnampongeza kabisaHuyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Kwako wewe ni ''game tuff'' kwa sababu ya uwezo!
Mazee kumbe hujui hata unachosimamia? Haki ya nani kuwa fuata mkumbo ni shida tupu. Sasa wewe ulikuwa unabishia nini?Umetukanwa wapi, au unajistukia jomba? Sasa kama huna hakika na sababu ya kumuengua unatuelewesha nini?
good answer for him/herHuenda ameangalia sana maslahi ya waajiri kuliko wafanyakazi husika na kuwasahau madhila wanayopata kwenye kupata mafao madogo.
Na hiyo ni kushinikizwa na waajiri hao kuweka kikokotoo cha asilimia ndogo.