Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Siasa tengeneza tatizo kisha litataue!!
Huyo dada katolewa kafara tuu
 
Mfano wako uko juu chini,chini juu Anza upya
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyu dada nilikuwa namfananisha na aliens na nikawa namuwazia maneno yale alokuwa akiongea aiza ni kwa utashi wake ama kwa kutetea tumbo lake hayawezi kuongewa na mtanzania aliyesomesha na mashangazi ba kununuliwa uniform na bibi wadogo na kuoewa nauli na ndg maana ni kama hajazaliwa vile kwa maneno yale nilifikia kumuwazia pengine alishushwa na mvua ya elmino maana sio ya kuwazungumzia wazee wanaostaafu wa tanzania!!!!!!!
 
Yeye ndo alimtuma usishangae anampa shavu zaidi ya alilonalo sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Siasa siasa jamani, zitatupeleka tukostahili. Haingii akilini jambo sensitive kama hili , limedumu muda mrefu ,kwa kupewa baraka za wahusika, halafu ghafla mambo yanabadilika kwa kutupiana mpira.
Ee Mungu wa wote tusaidie.
 

Of course you don't.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi na elimu ya alietunga hiyo sheria pamoja na aliesaini?
Mwanasiasa siku zote hata awe PHD holder huwa hana tofauti na mtu aliyeishia darasa la pili B, na huwa wanafanya hivi kwa kulinda maslahi yao binafsi na sio kwa maslahi ya wengi, lakini mtaalamu mwenye PHD ukafanya ujuha kwa kulinda maslahi ya wanasiasa aisee huo ni u.pumbavu wa hali ya juu
 
Kwi! Kwi! Kwi!
 
Siasa za maji taka!!Mama ndiyo alitunga hiyo sheria mbovu??!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna siasa za maji taka kilichomponza Irene ni kiherehere chake cha kila mara kujitia kudadavuwa kikokotoo ni kukitetea, na elewa kati ya waziri na Irene mtaalam wa mahaesabu na mshawishi mkuu ktk mipango yote ya kutengeneza formula ya calculation ni Irene na ndio sababu alikuwa akitetea mno katika mahojiano,
Magufuli yuko sawa,
Huwezi kupewa unga maji mwiko halafu usonge ugali mbichi kisha ulalamike eti alaumiwe na alie leta maji mwiko na sifuria, utaonekana juha,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.
Nchi hii imejaa wajinga kweli kweli!
 

Likely muhagama amepiga maneno ya kumzuga rais sana pale kwenye kikao lakini yeye alipaswa kutumbuliwa mwanzo
Mtu analipwa mshahara wa 442,000/= anafanya kazi kwa miaka 32 mwisho siku anakuja kupata pencheni yake Tshs 2,000,000/= ukitoa alizochangia mfanyakazi mwenyewe Tshs milioni 8. Kuna haja gani mtu kuomba ajira serikalini?? huu ni uuaji wa kiwango cha juu zaidi.
 
This is a harsh punishment for her. Pigo kwa young ladies who were looking up to her.
Lady leaders, be humble and dont stop learning to lead, communicate as a leaders, learn surroundings and situations, seek opinion and advise. Ask for help.

My self I am not a leader but I've never stopped to learn leading children and house helpers.Contradiction nhaa!
 
Hivi akili yako inakubali kwamba mkuu wa nchi alikuwa haelewi kabisa kinachoendelea kuhusu kikokotoo na amekuja kuelewa kwenye kikao cha leo?
 

It's not hush, but it's a wake-up call for her.

Fiscal implications means financial implications, she will have to dwell on that to understand.

She didn't understand the financial implications which the pensioners will incur following her actions.

She was the regulator with all muscles and tools from the government machinery and she didn't use them appropriately.

Then, you will have to take responsibility for your actions.

To you and other ladies, you have to understand the implications of not performing and using your knowledge and not used by outsiders.

Top positions are not just for seating but performing and using your knowledge

That's all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…