Angezuia vipi? Unajua directives za hayo yote zinatoka wapi? Na yeye kazi yake ni kutekeleza yale aliyoagizwa na si vinginevyo.Kwa cheo chake angeweza kuzuia hili lakini kwa sabab wanafanya kazi kwa uoga ndio imempelekea kufika pale...na yeye ni dhaifu maana ameshindwa kujenga hoja
Kama hahusiki kwanini alikuwa anapigilia msumari kwa nguvu zote na kupigia chapuo kwamba sheria ni nzuri mno.Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?
Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hahusiki!
Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Masikini Irene isaka dah napenda yule Dada kwakweli aje nimliwaze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi akili yako inakubali kwamba mkuu wa nchi alikuwa haelewi kabisa kinachoendelea kuhusu kikokotoo na amekuja kuelewa kwenye kikao cha leo?
Hizo kanuni zilitungwa na Irene au wataalam wa wizarani?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.
Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority - JamiiForums
Wewe hunaelimu na mamabo haya toka enzi ya Nyerere mfuko wa PPF ulikuwa unalipa 25℅ hela ya mkupuo, ndio mfuko uliokuwa kandamizi kuzidi mifuko yote ambayo ilikuwa inalipa zaidi ya 25%
malalamiko ya wanachama wamfuko huo kuwa unalipa kiwango cha chini mno na kandamizi yaliibua wazo la mifuko yote iunganishwe ili iboreke ilipe kiwango sawa kizuri,
Upuuzi ni kuwa baada ya kuunganisha mifuko yeye kama mkurugenzi na mtaalamu alioaminiwa kwa ushauri wake kaja tena na tatizo lilelile ya 25%
Sasa kwa akili yako ulitaka Magu amfanye nini amsifie ?
Halafu upuuzi aliofanya kutoshirikisha wadau vyama vya wafanyakazi ktk maamuzi, angekuwa na akili walipo lalamika wadau angejua kakosea, angewaita kafanyanao mazungumzo hatayangechukuwa mwezi angepata muaafaka nao, wala Magu asinge mfagia, wakosa yake ndio yamempa Magu kick,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi hata protocol hajui. Uko viunga vya ikulu halafu rais unamuita mwenyekiti. Pmbafu kabisa Dr wa kuchongaIna maana Irene qenu babe wenu hajui kuwa Magufuli ni Rais, hotuba Nzima anasema ndugu Mwenyekiti. Kweli?
Rais unamuita mwenyekiti.
Kapata muda wa kwenda kurudisha fadhila kule msoga sasa
Lazima viongozi wawe na utaratibu wa kuwajibika especially unaleta kitu ambacho kina madhara mengi kwa umma alafu aliekuteua anakipinga,maana yake mitazamo yenu haiendani so ni vizuri ukakaa pembeni waingie wengineBora umeliona hili...wengne wamejaza povu kwa mdada aloondolewa kiti pekee. Nimependa fikra hizi
huyu Mkurugenzi SSRA hakuwa anafanya kazi kwa manufaa yaje binafsi ni wazi watu wote walishirikishwa na tarehe 1 mwezi wa nane rais alisaini huo mswada kuwa sheria kwanini amuangushie jumba bovu wanasiasa wote wanafanana
Mbona kurudisha mambo kama zamani.Huyo mama kamweleza ukweli.HuwezI kuwadhulumu wastaafu ili ujenge reli na Daraja la Coco beach Agakhan.Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.
Kanonewa vipi kwani kaukuzwa kazi,au kiswahili hamjui,huyu atapangiwa kazi ingine,mambo ya kikokotoo hayawezi .