Wewe hunaelimu na mamabo haya toka enzi ya Nyerere mfuko wa PPF ulikuwa unalipa 25℅ hela ya mkupuo, ndio mfuko uliokuwa kandamizi kuzidi mifuko yote ambayo ilikuwa inalipa zaidi ya 25%
malalamiko ya wanachama wamfuko huo kuwa unalipa kiwango cha chini mno na kandamizi yaliibua wazo la mifuko yote iunganishwe ili iboreke ilipe kiwango sawa kizuri,
Upuuzi ni kuwa baada ya kuunganisha mifuko yeye kama mkurugenzi na mtaalamu alioaminiwa kwa ushauri wake kaja tena na tatizo lilelile ya 25%
Sasa kwa akili yako ulitaka Magu amfanye nini amsifie ?
Halafu upuuzi aliofanya kutoshirikisha wadau vyama vya wafanyakazi ktk maamuzi, angekuwa na akili walipo lalamika wadau angejua kakosea, angewaita kafanyanao mazungumzo hatayangechukuwa mwezi angepata muaafaka nao, wala Magu asinge mfagia, wakosa yake ndio yamempa Magu kick,
Sent using
Jamii Forums mobile app