Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Kwa cheo chake angeweza kuzuia hili lakini kwa sabab wanafanya kazi kwa uoga ndio imempelekea kufika pale...na yeye ni dhaifu maana ameshindwa kujenga hojaHakuwa anatetea jambo binafsi. Ile ndiyo huitwa "Collective Responsibility"
Siyo kila mtu alikuwa na wewe kwenye hiyo safari yako ya huko mbali!?Jina la Irene Kisaka na uteuzi wake kuwa Mkurugenzi mbona linanikumbusha mbali Sana..
chakula cha
Una haraka gani? Ni kweli uteuzi wake umetenguliwa na Rais Magufuli. Mkurugenzi mkuu mpya wa mifuuko ya hifadhi ya jamii utatangazwa baadae .tbc taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndugu mbona unajitoa ufahamu. Unajua kazi ya mkurugenzi? Kwa kifupi mkurugenzi anakuwa ndiyo injini ya shirika.. kwa kutumia wataalam wake anawajibika kutoa maamuzi sahihi. Haijalishi kama aliyapitisha kwa rais au nani lakini baadae yakionekana hayana manufaa YEYE ndiye mwajibikaji!Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?
Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hausiki!
Huyo dada ndo alitunga na kupitisha zile kanuni?
Duh mkuu una mawazo kama mimiMasikini Irene isaka dah napenda yule Dada kwakweli aje nimliwaze
Sent using Jamii Forums mobile app
acha ama punguza kula ugali maana umekufanya kuwa mjinga sana, anza kula vyakula vya ngano, maini na mfanano wake.
Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.
Kwenye hili kosa lake ni nini? Halafu acheni upuuzi wa kushangilia na kutetea maamuzi ya hao watu wenu!Haijalishi kama aliyapitisha kwa rais au nani lakini baadae yakionekana hayana manufaa YEYE ndiye mwajibikaji!
Waziri anasalimika vipi? Ilipendekezwa Waziri akakubali songe mbele, sasa anapona vipi?
Dr Irene atapangiwa kazi nyingine.
Source ITV habari!
Usikivu wakati ni mbinu za kisiasa yaani utawala wako watengeneze wenyewe halafu utenguwe uwe msikivu wakati akinabulaya wana pinga kwa nguvu mbona sikuona ukimpongeza amwajibishe na waziri tujuwe moja