Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Mhe. Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Dkt. Irene Isaka
 

Attachments

  • ikulu.PNG
    ikulu.PNG
    63.2 KB · Views: 55
Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?

Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hausiki!
Hivi ndugu mbona unajitoa ufahamu. Unajua kazi ya mkurugenzi? Kwa kifupi mkurugenzi anakuwa ndiyo injini ya shirika.. kwa kutumia wataalam wake anawajibika kutoa maamuzi sahihi. Haijalishi kama aliyapitisha kwa rais au nani lakini baadae yakionekana hayana manufaa YEYE ndiye mwajibikaji!
 
Aliekua mkurugenzi wa Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa mifuko ya hifadhi ya jamii ametenguliwa cheo chake baada ya sakata la Pension.
Ushauri:Rais tusaidie wabunge wote wa CCM ambao hawakuwatetea wananchi kuhusu mafao wasirudi bungeni tena 2020. Maana kila ujinga wao ni kusupport
 

Attachments

  • Screenshot_20181228-201729_Instagram.jpg
    Screenshot_20181228-201729_Instagram.jpg
    113.3 KB · Views: 54
Wacha kudanganya watu wenye akili zao wewe,yaani mnatengeneza tatizo makusudi alafu mnakuja kujifanya mnalitatua?kawadanganyeni maccm wenzenu
Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu ni msikivu sana. Mungu amlinde na kumpa afya njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikivu wakati ni mbinu za kisiasa yaani utawala wako watengeneze wenyewe halafu utenguwe uwe msikivu wakati akinabulaya wana pinga kwa nguvu mbona sikuona ukimpongeza amwajibishe na waziri tujuwe moja
 
Back
Top Bottom