Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Labda wakurugenzi kwenye nchi za watu wenye akili zao ila sio hapa.Uyo kwa vyovyote vile katolewa kafara kufichania ovu iliyokuwepo kwasababu hili jambo sio laleo na kwasababu hata ingetokea toka mwanzo angegoma bado angeambiwa kakiuka maagizo halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Magufuri huyu mdada nina wasiwasi na udokta wake kama ajaonga tamu shuleni ni bahati sana..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana PhD usimchukulie poa babu

Sent using Jamii Forums mobile app

PHD yake imeshindwa kutengeneza solution ya kudumu kwenye fao la kujitoa na pension ya wazee wetu na pande zote zikawa na furaha, huu ni zaidi ya mwaka wa 3 yuko pale SSRA lakini kila siku analeta mkanganyiko tu toka awamu ya nne, tena amecheleweshwa sana alitakiwa atumbuliwe zamani sana..

Tafsiri ya kuelemika ni kutenda na kuleta matokeo chanya hili likikushinda elimu yako haina maana..
 
JENISTER MHAGAMA MUST GO..

kabla hakujacha..
 
JENISTER MHAGAMA MUST GO..

kabla hakujacha..
Huyu na yeye ni wa kufurushwa, yaani hili limama lina roho mbaya kama sura ilivyo, nakumbuka huyu mama akiwa mwenyekiti wa kamati ya bunge wafanyakazi tulikaa naye tukamweleza dukuduku letu kuhusu fao la kujitoa, alivyo pata uwaziri yeye akawa wa kwanza kutuchinjia baharini baada wafanyakazi
 
Wewe unaumwa. Waziri anasain regulations yeye hazitengenezi. Regulations zinatengenezwa na idara wenye sheria. Mfano, Sheria ya ardhi ikitungwa, regulations zake zinatengenezwa na Kamishana wa Ardhi hivyo waziri wa ardhi huperekewa kusain tu.
 
Hivi wapi wamesema huyu dada ametumbuliwa? Nionacho mimi ni kwamba atapangiwa kazi nyingine. Maana yake ni kwamba hakuna kibaya alichokifanya. Alitekeleza vyema maagizo ya serikali kutetea kikokotoo kama alivyoambiwa. Inashangaza eti watu wanapoongeza raisi kwa uamuzi huu wakati maslahi yake yako pale pale. Akili ku mkichwa Sio kupongeza hata ujinga.
 
JENISTER MHAGAMA MUST GO..

Kabla hakujacha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…