Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea. Kuna watu wakiwa wanajenga nyumba utasema wao ndo mafundi, wanaelekeza kila kitu. Ss Kama alikuambia tutumie cement, nondo na matofali ya aina flani ukamwambia No tumia ya aina ninayotaka mm na ukamnunulia ukapeleka, halafu ukampangia na ajenge kwa ratio gani ule Ufa Utakuwa unakuhusu wewe sema unaweza mlaumu tu sababu yeye Ndo mkandarasi.Kama unapata shida kuona kosa lake ngoja nikupe mfano huu: Umempa mkandarasi mkataba wa kujenga nyumba. Baadae ukakabidhiwa nyumba yako na kuichukua. Baada ya siku mbili nyumba ikapasuka ufa! Je mkandarasi hatawajibika kwa sababu tu wewe ulikubali kuipokea ile nyumba?
You must be mentally deranged!Masikini Irene isaka dah napenda yule Dada kwakweli aje nimliwaze
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yake huyu mrembo , lakin naamini Ni kambuzi ka kafara tu haka , wahusika wakubwa wanapetaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.
Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Bunge lilitunga sheria ambayo haina fomula ila waziri alipaswa kutunga kanuni ambazo zina fomula ikiwepo kikokotozijiwe ni mwongo wabunge walisaini weee
Watamliwazaje mzee baba😔😔
Na ndiyo somo nalofundisha kwenye thread hii. Bora uweke legacy nzuri kuliko mbaya! Simama upande wenye haki hata kama utakufa kwa njaa kuliko upande wa dhuluma huku unashiba!Labda wakurugenzi kwenye nchi za watu wenye akili zao ila sio hapa.Uyo kwa vyovyote vile katolewa kafara kufichania ovu iliyokuwepo kwasababu hili jambo sio laleo na kwasababu hata ingetokea toka mwanzo angegoma bado angeambiwa kakiuka maagizo halali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! Anaonekana ni chakula kitamu.Masikini Irene isaka dah napenda yule Dada kwakweli aje nimliwaze
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wewe jamaa unaweza hata kumtandika mtu mboko maana huwa hupend upuuz kabisa
KokotooNieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Hakuwa anatetea jambo binafsi. Ile ndiyo huitwa "Collective Responsibility"
Kikokotozi bado kinaendelea kukokota watu ni swala la muda tu😀Pole yake huyu mrembo , lakin naamini Ni kambuzi ka kafara tu haka , wahusika wakubwa wanapeta
Mfano , muhagama anasubiri nini
Ivi unafikiri ni rahisi kihivyo kwenda tofauti na waliokuteua.au mabosi zako muulizeni mwanasheria wa Zanzibar wa kipindi kile ilikuwaje. Huyu ni mbuxi katolewa kafaraSasa irene alipaswa kujenga hoja na kuzuia hili hata kama angeshindwa ila at least angejaribu...hatutaki watu wa kufuata kila wanachoambiwa bila kutumia akili zao.. pale sio jeshini