Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kumbe mzee baba hujafa? Aibu anayokupa Jiwe siku hizi unavizia kucomment badala ya kuanzisha uzi😅😅
Mh!!JENISTER MHAGAMA MUST GO....
HAKUTAKIWI KUCHA....
Kweli mkuu, mazuzu yatajitokeza kumsifia jiwe wakati tatizo alilitengeneza mwenyeweKuna wapumbavu watakuja kumsifia jiwe kwa kumtengua .
Yaani ni aibu kufanya siasa za kishamba kwenye ulimwengu wa technology
Ana PhD usimchukulie poa babuSijawahi kuona mwanamke mjinga kama yule.
Amejitahidi maana hicho kikokotoo kilikiwa kinawapa wengi headaches... Ila nasubiri kuona kama kweli huyu mkurugenzi aliyetenguliwa atapangiwa kazi nyingine.View attachment 979879
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.
Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums