Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Kati ya hao wawili anayesaini na aliyezitunga nani kisheria huhesabika ndiye kazitunga hizo "Regulations"
Anayetumia regulations kwenye majukumu yake ya kila siku ndiye mwenye kuwajibika nayo. Kati ya Waziri na mkurugenzi unaweza kujua nani anahitaji regulations kwa matumizi ya siku kwa siku.
 
Anayetumia regulations kwenye majukumu yake ya kila siku ndiye mwenye kuwajibika nayo. Kati ya Waziri na mkurugenzi unaweza kujua nani anahitaji regulations kwa matumizi ya siku kwa siku.
Kisheria hizo "Regulations" ni mali ya nani kati ya Waziri mwenye dhamana na Mkurugenzi wa SSRA?
 
Huyu mama (dada)aliitwa Ikulu akasmbiwa anapewa Wiki moja arekebishe sheria ya mafao.....

Ila leo kageukwa katumbuliwa...jiwe anajisafisha .....ametengeneza tatizo halafu kalitatu....

Na watu watamshangilia
 
Wewe nawe ni mlevi mkuu,kwahiyo unashindwa hata kuua kwamba kutia saini ni kuidhinisha? Kutengeneza kanuni ni jukumu la waziri kupitia wizara yake,ukisikia waziri anatunga kanuni hatumaanishi anajifungia chumbani na kuzitunga bali wanatunga wengine yeye anakuja kumalizia tu kwa kuziingiza katika matumizi.

Mteteeni kivingine lakini sio kumchomoa katika hili!
Nashindwa KUUA nani tena mkuu?
 
kafanya kosa ambalo lilihitaji kuwajibishwa na kutenguliwa ndio kunakomfaa na naamini rais Magufuli hatoishia kwa huyu tu wote waliohusika wajiandae kisaikolojia
 
Akome kusifu na kuabudu ....bado hizi mburukengez za huku jf zinazosifu na kuabudu utafika muda wao wa kulia na kusaga meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili liambatane na kumtumbua anaehusika na upandishwaji wa madaraja. Kila siku system inasumbua
 
Hotuba yake yote analalamika uwekezaji wa Dege Beach... Dege Beach..... Dege Beach

Amwite nyumbani Ramadhani Dau amweke lupango aliyejenga Dege Beach kama yeye mwanamme kweli asiye na mchezo na ufisadi...
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
FB_IMG_1546009134332.jpeg
 
Bora hata wamemla kichwa maana siku ile wakati anatetea hicho kikokotoo alinikera sana japo mi si mhusika wa kikokotoo!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe unaumwa. Waziri anasain regulations yeye hazitengenezi. Regulations zinatengenezwa na idara wenye sheria. Mfano, Sheria ya ardhi ikitungwa, regulations zake zinatengenezwa na Kamishana wa Ardhi hivyo waziri wa ardhi huperekewa kusain tu.
Hoja dhaifu.
Anasaini ama kutosaini kumaanisha amekubaliana ama kutokubaliana na kanuni husika.
Kwa hiyo,anawajibika.Kutetea vitu visivyoeleweka ni fedheha.
 
Back
Top Bottom