Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

pamoja na hili kwa level aliyokuwa huyo dada haikutakiwa kuwa muoga mbele ya wanasiasa, msomi unatakiwa kusimamia kile unachokiamini.
Hope hakutumbuliwa rather anabadirishiwa nafasi. Yaani kama uhamisho maana kaonekana anawaogopa kina HK yn wanasiasa. Maana wakutumbuliwa alitakiwa waziri husika. Maana shida sio sheria bali tatizo ni kanuni na kanuni zinamhusu waziri straight away.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu Mkurugenzi SSRA hakuwa anafanya kazi kwa manufaa yaje binafsi ni wazi watu wote walishirikishwa na tarehe 1 mwezi wa nane rais alisaini huo mswada kuwa sheria kwanini amuangushie jumba bovu wanasiasa wote wanafanana
 
This is a harsh punishment for her. Pigo kwa young ladies who were looking up to her.
Lady leaders, be humble and dont stop learning to lead, communicate as a leaders, learn surroundings and situations, seek opinion and advise. Ask for help.

My self I am not a leader but I've never stopped to learn leading children and house helpers.Contradiction nhaa!
Cc jenista
 
Nyambaf nyumbu wa lumumba.
Mna akili za kibaamedi. Mnashangilia kama malaya na mazuzu.
 
Kufanya kazi na jiwe yahitaji moyo sana,kama kikokotoo kilikua hakifai kwanini?.yeye aliisaini hiyo sheria?.

Na kama haifai hiyo sheria kwanini 2023 ionekana ndo muda muafaka kuanza kufanya kazi?.jiwe ni mnafiki wa kiwango cha makinikia.

Poleni wote mlioteuliwa na jiwe.anayakoroga kisha anawatupia taka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa hivyo basi mpira ulikuwa upande wa Irene, angemaliza hilo badala ya kusubiri kikao na raisi.
Kweli hapa alishindwa kabisa kusoma salama za nyakati. Outcry was too huge to remain silent. She was supposed to act fast with roundtable discussions with workers associations. Walipopewa nafasi waongee ya moyoni niliona kabisa Dr aliondoka. So sad.
 
Ivi unafikiri ni rahisi kihivyo kwenda tofauti na waliokuteua.au mabosi zako muulizeni mwanasheria wa Zanzibar wa kipindi kile ilikuwaje. Huyu ni mbuxi katolewa kafara
Rais angemuelewa tu, uoga wao tu hawa watumishi... kama una points za msingi haya yy angetulia kama alivyotulia hadi kughairi 25%
 
Back
Top Bottom