Ifururu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 562
- 658
ChamboSanaaaa! Nilijiuliza anawezaje kujitokezana kutetea kitu kama kile
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChamboSanaaaa! Nilijiuliza anawezaje kujitokezana kutetea kitu kama kile
Hope hakutumbuliwa rather anabadirishiwa nafasi. Yaani kama uhamisho maana kaonekana anawaogopa kina HK yn wanasiasa. Maana wakutumbuliwa alitakiwa waziri husika. Maana shida sio sheria bali tatizo ni kanuni na kanuni zinamhusu waziri straight away.pamoja na hili kwa level aliyokuwa huyo dada haikutakiwa kuwa muoga mbele ya wanasiasa, msomi unatakiwa kusimamia kile unachokiamini.
Cc jenistaThis is a harsh punishment for her. Pigo kwa young ladies who were looking up to her.
Lady leaders, be humble and dont stop learning to lead, communicate as a leaders, learn surroundings and situations, seek opinion and advise. Ask for help.
My self I am not a leader but I've never stopped to learn leading children and house helpers.Contradiction nhaa!
Wake za watu kwani hawadhini ?Hapana,kaolewa huyo ni mke wa mtu
Masikini dada yetu ulikuwa na kiherehere sana ona umekuwa mbuzi wa kafara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhe. Rais ameshangazwa na jinsi alivyoipitisha baadhi ya miradi isiyo na tija ya mifuko mbalimbali kama ule wa NDEGE BEACH n.k!Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Isaka!Hivi huwa ni Irene Isaka au Irene Kisaka?
Kweli hapa alishindwa kabisa kusoma salama za nyakati. Outcry was too huge to remain silent. She was supposed to act fast with roundtable discussions with workers associations. Walipopewa nafasi waongee ya moyoni niliona kabisa Dr aliondoka. So sad.Ingekuwa hivyo basi mpira ulikuwa upande wa Irene, angemaliza hilo badala ya kusubiri kikao na raisi.
Rais angemuelewa tu, uoga wao tu hawa watumishi... kama una points za msingi haya yy angetulia kama alivyotulia hadi kughairi 25%Ivi unafikiri ni rahisi kihivyo kwenda tofauti na waliokuteua.au mabosi zako muulizeni mwanasheria wa Zanzibar wa kipindi kile ilikuwaje. Huyu ni mbuxi katolewa kafara