Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Basi tu.. kupo nipo hata kama sipo sipo
Chief, upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tu.. kupo nipo hata kama sipo sipo
Pamoja na JenistaHuyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Wapi mzee?Jina la Irene Kisaka na uteuzi wake kuwa Mkurugenzi mbona linanikumbusha mbali Sana..
Umepata jibu?! Manake nami ningependa kulifahamu.Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Hakuna anayeweza kusema hasa kosa lake ni nini? No body has yet to provide any answer! Tangible answer! only revelationsUmepata jibu?! Manake nami ningependa kulifahamu.
Bavichaa walipaswa kua mirembe wote, ni wagonjwa wa akili.BAVICHAA MPAKA ASUBUHI MTAKUWA MMESHAJAZA HUU UZI KWA ZAIDI YA 700 COMMENTS, AMBAVYO HUWA MNARUKWA SANA NA AKILI KUHUSU MADA ZA KIJINGA KAMA NGONO, KUTETEA MASHOGA NA KUSHABIKIA NYIMBO ZA KI-FREEMASONS ZA YULE PUNGUWANI WENU ALIYEFUNGIWA SHOO ZA MZIKI NA BASATA.
Sent using Jamii Forums mobile app
alichokitetea ndicho alichotumwa na boss !Huyu Dada kumnanga in kumwonea. In kondoo tu was kafara. Japo najua Luna watakaosema kwamba hakutoa ushauri sahihi kwa wafanya waamuzi
Aliyefungiwa si ndiye mwenyeji wa magogoni kwa awamu hizi mbili na ndiye alikuwa mpiga debe mkuu wa Pombe na Vasco iweje awe kipenzi cha hawa mnaowaita bavicha? Ina maana kila anayetoa mawazo tofauti na akili zenu ni bavicha?
You are right, boss Jakaya, huo upuuzi uliletwa na awamu ilopita, alishindwa kusoma alama za nyakati, watu wanashindwa kumwelewa Magufuri anaposema hataki wanyonge waonewe anamaanisha aisee..
Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Mzee anapenda kuitwa Mheshimiwa Rais sasa jana dada kamshusha hotuba nzima anamwita mwenyekiti nikajuwa tu mama hamalizi 24 Hrs na kweli nilichowaza kimetokea.Huyu Dada mi nilikua namshangaa anajichekeshachekesha pale mbele wakati masaa yake yalikua yanahesabika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana huyu dada hawezi kuyafanya hayo bila baraka za wakubwa haiwezekani kabisa ndio maana Serikali yote walikuwa wanaunga mkono mpaka bungeni. Ili kuweza kufikia malengo kutoa kafara ni kawaida na mama kaingia katika hilo lakini sio maamuzi yake hapana. Mimi nadhani mzee alichukia kuitwa Mwenyekiti na sio mheshimiwa rais