Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Woooote wanaojitahidi kuonyesha
uhodari katika kupora haki za watu
mchana kweupe,FYEKELEA MBALI.
wafanyakazi hoyeee.
 
Kosa la huyu dada liko wazi,amewekwa
kusimamia mifuko ya hifadhi sio wanachama
wa mifuko ya hifadhi,kwa nini mpaka leo
majengo yanayojengwa na mifuko ya hifadhi
na mifuko kujifanya kuchapisha machapisho
kama kalenda n.k na matumizi mengine
mabaya ya fedha alisubiri rais wa jamhuri
ya muungano ndiye aone kuwa ni ouvu,yeye anafanya kazi gani?

Sheria ilitungwa mwaka 2014,kwa nini asijiulize mpaka sasa
haijatekelezwa?yeye akakurupuka amekwenda na kimbunga.
 
Angemuondoa Jenista Muhagama, huyu mamam ndio sijawahi kuelewa hata huko kwenye baraza la mawaziri anamchango gani? Ni kilaza hajawahi kufanya jambo lolote la maana kwenye serikali zaidi ya kufokea wabunge wenzake bungeni. Cha ajabu PM na JPM wana muogopa hivi sijui kwanini.Yani anazunguka tu sasa vitu vinavyo mzungusha hakuna hata kimoja cha maana.
 
BAVICHAA MPAKA ASUBUHI MTAKUWA MMESHAJAZA HUU UZI KWA ZAIDI YA 700 COMMENTS, AMBAVYO HUWA MNARUKWA SANA NA AKILI KUHUSU MADA ZA KIJINGA KAMA NGONO, KUTETEA MASHOGA NA KUSHABIKIA NYIMBO ZA KI-FREEMASONS ZA YULE PUNGUWANI WENU ALIYEFUNGIWA SHOO ZA MZIKI NA BASATA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bavichaa walipaswa kua mirembe wote, ni wagonjwa wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda demu Wangu wa zamani da- LEILA akachukua hiyo nafasi iliyoachwa wazi! aisee nitaruka na kushangilia maana hatujaachana kivile, kuwa na demu Mwenye mamlaka kuna raha yake asikwambie mtu!
 
Huyo Dada alitaka kuua wastaafu kwa presha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana huyu dada hawezi kuyafanya hayo bila baraka za wakubwa haiwezekani kabisa ndio maana Serikali yote walikuwa wanaunga mkono mpaka bungeni. Ili kuweza kufikia malengo kutoa kafara ni kawaida na mama kaingia katika hilo lakini sio maamuzi yake hapana. Mimi nadhani mzee alichukia kuitwa Mwenyekiti na sio mheshimiwa rais
 
Back
Top Bottom