Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Yy ameshajichotea na kibubu kimejaa pomoni hana shida na pesa ya kustaafu ndo maana alikuwa anaongea kama wote wameshiba kama yy.
 
Hana lolote huyu ni scapegoat tuuu yaaani yy ndo amendaaaa hicho kikokotoooo mwenye ttzo hapo ni yy jiwe kamuonea tuuu mdada wa watu ingwwa ni dr wa hovyo kama kabudi
 
Nyie watu mIrene swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?

Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hahusiki!
Waziri Jenister hana ubongo wa kutengeneza kanuni! Ni hao hao kina Irene wali-draft na kumpelekea kwa ajili ya kuweka sahihi!
 
Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.

Nilimshangaa sana Dr Irene, badala ya kwenda kwa Rais kutetea wastaafu ameenda kupiga rungu wastaafu! Kwanza yeye mwenyewe kama mshahara wake ungalipunguzwa kutoka mfano millioni mbili kwenda laki nane kwa mwenzi sidhani kama angalifurahi na kuwa na ari ya kazi sembuse mstaafu kafanya kazi miaka kati ya 36 na 42 unashusha malipo yake(siyo mshahara ila pension yake badala ya kumuongezea mara tatu au nne)! Hapa tunaona Rais Dr Magufuli ni reincarnation of Mwl Nyerere!
 
Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?

Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hahusiki!
Kama regulator akiplay part ipi kuhakikisha kikokotozi kibovu hakitumiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Cheo ni dhamana ,atapangiwe kazi ingine,kuhamishwa na kupangiwa kazi nyingine ni sehemu ya kazi,mbona hamuelewi?wewe ulitaka afie hapohapo?
 
Na Jenister Mhagama kabaki? Anabakije? Naona ameamua kumtoa kafara mrembo wa watu na kuliacha gumegume lake likiendelea kula bata. Ngoja sasa aingie mtaani wanaume wamuinamishe apate fundisho maana hata yeye alikuwa anatetea sana ukandamizaji wa wafanyakazi. ***** zake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yeye si ndiye akiyesaini hiyo sheria kandamizi? Acheni kusifia ujinga!
Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom