Yy ameshajichotea na kibubu kimejaa pomoni hana shida na pesa ya kustaafu ndo maana alikuwa anaongea kama wote wameshiba kama yy.Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yy ameshajichotea na kibubu kimejaa pomoni hana shida na pesa ya kustaafu ndo maana alikuwa anaongea kama wote wameshiba kama yy.Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Na haliwezi kuwepo jibu lenye akiliHakuna anayeweza kusema hasa kosa lake ni nini? No body has yet to provide any answer! Tangible answer! only revelations
Waziri Jenister hana ubongo wa kutengeneza kanuni! Ni hao hao kina Irene wali-draft na kumpelekea kwa ajili ya kuweka sahihi!Nyie watu mIrene swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?
Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hahusiki!
Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Kama hukuelewa siku zote za vuguvugu...Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Kama regulator akiplay part ipi kuhakikisha kikokotozi kibovu hakitumiki?Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?
Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hahusiki!
Ni manzi wako nn?Kwenye hili kosa lake ni nini? Halafu acheni upuuzi wa kushangilia na kutetea maamuzi ya hao watu wenu!
Cheo ni dhamana ,atapangiwe kazi ingine,kuhamishwa na kupangiwa kazi nyingine ni sehemu ya kazi,mbona hamuelewi?wewe ulitaka afie hapohapo?Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Kanonewa vipi kwani kaukuzwa kazi,au kiswahili hamjui,huyu atapangiwa kazi ingine,mambo ya kikokotoo hayawezi .
Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.
Masikini dada yetu ulikuwa na kiherehere sana ona umekuwa mbuzi wa kafara
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Irene atapangiwa kazi nyingine.
Source ITV habari!
Nieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?