johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zee la kupenda sifaTumbua tumbua imeanza tena tulikuwa tumeshasahau!
Huyu ana njaa sana hadi ashibe atakuwa ameiba sana.Sijui huyu Mwamba atakumbukwa safari hii? [emoji848]
Pascal Mayalla
Maana haikuwa kazi nyepesi kumpigia kampeni mtu kama gwajiboy.
Kwani Jiwe anamfahamu Pascal? Si mpaka ufahamike labda kwa vile ni MsukumaSijui huyu Mwamba atakumbukwa safari hii? 🤔
Pascal Mayalla
Maana haikuwa kazi nyepesi kumpigia kampeni mtu kama gwajiboy.
Hahahaaaa.......Pascal yuko kimya sana!Sijui huyu Mwamba atakumbukwa safari hii? 🤔
Pascal Mayalla
Maana haikuwa kazi nyepesi kumpigia kampeni mtu kama gwajiboy.
Hakika!Coco beach imemponza
Coco beach!kafanya nini tena?
Bado hyu mama wa Ubungo manicipal
Ok Lukuvi amesimamisha uzio..... loh na corona hii na frustrations lazima aondokeCoco beach!