Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Ewe Mh Raisi wetu, tunakuomba pía umuangazie na huyu DED wa Temeke,, miundombinu ya barabara hasa route zinazotumiwa na public transport ni mbovu sana miaka kenda na kenda
 
Mnamchongea sana Paskali ndio maana hateuliwi, hebu kaeni kimya muone kama hajapewa u RC, japo sijui kama ana uhitaji.
Kweli kabisa, mkuu P, hana uhitaji na haya mavyeo, yeye ni mtu tu wa tasnia ya habari! Anabalansisha tu story za maisha!

Everyday is Saturday................................😎
 
Ewe Mh Raisi wetu, tunakuomba pía umuangazie na huyu DED wa Temeke,, miundombinu ya barabara hasa route zinazotumiwa na public transport ni mbovu sana miaka kenda na kenda
Umesikika vuta subira!
 
Ewe Mh Raisi wetu, tunakuomba pía umuangazie na huyu DED wa Temeke,, miundombinu ya barabara hasa route zinazotumiwa na public transport ni mbovu sana miaka kenda na kenda
Huko ni kumwonea DED,
Barabara za Halmashauri zipo chini ya TARURA, madiwani ambao ndio wasimamizi wa mkurugenzi hawanajui hata budget ya TARURA na nadhani hata hawapaswi wajue.
Nyingine zipo chini ya TANROAD
Ded haoni hata hajui nini kimepangwa kwenye utekelezaji wa miradi husika.

Hapo ni kwa namna gani Mkurugenzi anawajibika.

Pambaneni na mbunge wenu ambaye anaweza ku push hiyi issue otherwise mtawatia hatiani watu wasiostahili.

DED mwulize kuhus madawati, madarasa, zahanati na vingine ambayo vipo katika nyanja ya utekelezaji wake.
 
Back
Top Bottom