Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Dawa ni ndogo aende tocha akapige magoti atahurumiwa ajifunze kwa wenzake
 
Hee CDM kweli shida.....yaani mmelia ndo mkurugenzi k'ndoni katumbuliwa..! Kwa hiyo sio katumbuliwa sababu ya kugeuza matumizi ya 'open space..! Basi Mkiongeza kilio wakurugenzi wengine wakae chonjo..! Akili za kinyumbu.
Mungu alikupatia akili ili ufikirie na hatimaye kufanya maamuzi ya kukusaidia maishani mwako
 
Paskali akikosa teuzi hizi mbili za uDED Korogwe na Kinondoni aende tu kujiosha baharini kuondoa Gundu.

This is a must teuzi for Paskali. Its NOW or NEVER!
Mkuu hapangiwi ujue!!! , kauli Kama hiI ndo zinazidi kumpoteza mayalla , maana mnampangia mukulu cha kufanya.
 
Mnamchongea sana Paskali ndio maana hateuliwi, hebu kaeni kimya muone kama hajapewa u RC, japo sijui kama ana uhitaji.
That's my point too, tukikaa kimya mayalla fasta anaula, hii ya kupiga kelele ndo tunazid kumtia njaaa mwenzetu,
Mukulu hapangiwi alishasema, shime tukae kimya ndugu yetu mayalla apate kupata cha kupata.
 
Hamkani si swhari.
Rais atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya kinondoni.

Hatua hii inahusishwa na sakata la Coco Beach kujengwa nje ya utaratibu kisheria.

Watumishi wa Umma wanajisahau sana
IMG-20210216-WA0052.jpg
barua ya kutenguliwa Mkurugenzi Kinondoni
 
Huyo kaonewa tuu sikuona sababu ya kumtengua maana kama ni pale coco alikuwa anafanya lile Rais alilosema la kujenga sehemu za watu kupumzikia uwezi ukawa na ufukwe kama ule halafu ushindwe kutengeneza hela. Ni lazima tukubali kuwa fukwe lazima zitumike kufanya biashara za hadhi zote.

kuwa na uchafu kama ule pale na kutokuwa na mpangilio wa wawafanya biashara bado ni jambo la kijinga.... ule ufukwe umekuwa kama dampo tu ni lazima tukubali kuwa wafanya biashara wanatakiwa kuwa na vibanda vizuri na kuongeza vivutio vya wawekezaji kwenye fukwe kama boti na michezo mbali .

mbali....lakini kwa hali hii fukwe zitakuwa dampo tu.
 
Hamkani si swhari.
Rais atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya kinondoni.

Hatua hii inahusishwa na sakata la Coco Beach kujengwa nje ya utaratibu kisheria.

Watumishi wa Umma wanajisahau sanaView attachment 1704059 barua ya kutenguliwa Mkurugenzi Kinondoni
 
Angemtumbua na mkurugenzi wa ubungo pamoja na mkuu wa wilaya wake sababu wao ndio chanzo cha mbezi na kibamba kuwa shida ya maji sababu wanacheza deal na wauza maji wa kwenye magari
 
Back
Top Bottom