Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Mkuu alitakiwa afe kinyama wangalau, kisha familia yake na waliomtuma waingie mitandaoni wachukue mrejesho wa maisha ya ndugu/kibaraka wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mmefikia huku?

2025 kipigo kiko palepale! Badala ya kushughulika na ishu muhimu zitakazo wapa ushindi mnawaza wafe?

Ujinga kweli mzigo
 
kuna viongozi kwakweli sio wachapa kazi, kuna baashi ya wilaya za Mkoa wa DSM zimedorora utadhani hazina wakuu wa wilaya wala wakurugenzi.
kuna baadhi ya wilaya wakuu wake ni wachapa kazi kweli kweli baadhi yao wamesinzia, bora kuweka wengine tu ili mambo yaende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hee CDM kweli shida.....yaani mmelia ndo mkurugenzi k'ndoni katumbuliwa..! Kwa hiyo sio katumbuliwa sababu ya kugeuza matumizi ya 'open space..! Basi Mkiongeza kilio wakurugenzi wengine wakae chonjo..! Akili za kinyumbu.
Siku zote chadema ni debe tupu mkuu
 
Tatizo ni huyo aliyepora uchaguzi October 2020.
kuna viongozi kwakweli sio wachapa kazi, kuna baashi ya wilaya za Mkoa wa DSM zimedorora utadhani hazina wakuu wa wilaya wala wakurugenzi.
kuna baadhi ya wilaya wakuu wake ni wachapa kazi kweli kweli baadhi yao wamesinzia, bora kuweka wengine tu ili mambo yaende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'
JamiiForums1333640555.jpg
 
Back
Top Bottom