Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Huyo kaonewa tuu sikuona sababu ya kumtengua maana kama ni pale coco alikuwa anafanya lile Rais alilosema la kujenga sehemu za watu kupumzikia..
Forodhani Zanzibar ni kusafi na serikali pale inafanya biashara na ni bure wengine kutembea au kukaa kwenye 'vimbwete'.
Kodi zifanye kazi ya usafi!

Kwanini sisi Coco iwe chafu au dampo? Wazanzibar wanawezaje?? Sisi tunashindwaje??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mmefikia huku?

2025 kipigo kiko palepale! Badala ya kushughulika na ishu muhimu zitakazo wapa ushindi mnawaza wafe?

Ujinga kweli mzigo

Ndiko mlikotufikisha hivyo usishangae chochote. Bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, wapiga kura hawawezi kufika hata milioni 4. Mtapiga kura nyie mnaofaidika na huu ushetani wa awamu hii, kwani tumejiridhisha pasi na shaka kuwa hamna uwezo tena wa kushindana kwa njia ya box la kura zaidi ya ulevi wa madaraka.
 
Ubunifu kwenye kulipisha wananchi kufika eneo la umma, public space?

Kuna beach za kulipia wananchi wanaamua wenye vipato wanaenda huko, tusio na vipato na walio na vipato bado wapo wanaopenda kwenda beach za umma!

Hata beberu jamani kuna maeneo kule kwao bure, serikali inayahudumuia na mazuri mno! Zanzibar tu hapo Forodhani ni bure.

Everyday is Saturday................ 😎
 
Hii tukio linadhihirisha kwa nini kjna watu wameunda makundi kumchukia Mh Rais #JPM.
Wakurugenzi wengi nchini ni vichaka vya wizi wa kimfumo wakishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wapiga DEAL.
Sasa wanamuona mzee kama anawachelewsha vile.
 
Ndio mmebakiza kuwaombea wana ccm wafe ili wakifa wote muingia ikulu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki ni kiwango kikubwa mno cha kukata tama
 
Kuna mtu kauliza hivi CHADEMA bado ipo? Maana hata ile mifulana yao hatuoni wakivaa siku hizi...! Wabunge wao wanapiga nondo za hatari mjengoni... hawawataki..! Halafu bado wanaiwaza 2025....ni Vituko.
 
Paskali akikosa teuzi hizi mbili za uDED Korogwe na Kinondoni aende tu kujiosha baharini kuondoa Gundu.

This is a must teuzi for Paskali. Its NOW or NEVER!
Naona mnampigania kwa bidii sana.

Kwani mtu kupata ulaji ni lazima atangazwe kwa kuteuliwa; hawezi kupewa kazi kimya kimya?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mmefikia huku?

2025 kipigo kiko palepale! Badala ya kushughulika na ishu muhimu zitakazo wapa ushindi mnawaza wafe?

Ujinga kweli mzigo
Kipigo cha kutumia TISS CCM na kina mambo sasa ukijulisha na kura za kwenye masandarusi? Huoni hata soni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…