Kama alivyomtumia Lugola eti Lugola kasign mkataba eti yeye hajui. Wakati ule Kigwangala anagombana na mkenda wizara ya maliasili alijigamba kila taarifa analetewa na wanausalama lakini kwa Lugola eti hakujua. ANATUKERAKabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu. Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Amechelewa mno!Kama alivyomtumia Lugola eti lugola kasign mkataba eti yeye hajui. Wakati hule kkigwangwala anagombana na mkenda wizara ya maliasili alijigamba kila taarifa analetewa na wanausalama lakini kwa Lugola eti hakujua. ANATUKERA
Naona ameamua kurudia fani yake anayoimudu.
Kile kimama ni kikada cha CCM chenye njaa kali. Kikiwa pale Muhimbili kilikuwa hakiwezi kutibu watu kutwa kiko busy kusuka majungu ya umbea ili wakubwa serikali wakipe cheo. Yaani kutumbuliwa kwake kuna watu pale wizara ya Elimu watashangilia.
Kama Lissu anamnyima usingizi sisi tunao, atuache tulale
Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Maamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira
Atawaeleza Watoto wake nao watatueleza humu humuNi mbinu ya kichovu sana! Sasa kwa vile mama huyu hatopata nafasi ya kujieleza ndio imeisha hiyo
Job Description ya Deputy PS nadhani kwa ujumla ni kuwa msaidizi mkuu wa katibu mkuu. Ofcourse baraza linapata inputs kutoka kwenye wizara husika maana wizara inapeleka policy changes kama mapendekezo. Ila hata kupeleka mapendekezo kwenye baraza la mawaziri ni lazma waziri aridhie maana yeye ndio anaenda kuwasilisha pendekezo kwenye baraza. Naibu Katibu mkuu hapo kaonewa tu plain and simpleHilo baraza la mawaziri wanapata wapi taarifa/nyenzo/inputs za kujadili sera kwenye baraza hilo? (Nawaza juu ya huyo Naibu Katibu Mkuu na TOR zake)
Labda kama utaratibu ulikiukwa na hawakupata ridhaa ya baraza la mawaziri kabla ya kutangaza mabadiliko ya sera (uwezekano wa hiyo ni mdogo sana). Lakini kama baraza liliridhia..hakuna aliyetakiwa kutumbuliwa.Ndalichako ndio ilitakiwa atumbuliwe hapo.
Huyo bibi hakuamka kutoka usingizini na kutoa hilo tangazo.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
ahahahaKama Lissu anamnyima usingizi sisi tunao, atuache tulale
Shida ya wasomi wa Tanzania wajinga wengi Sana wamekariri hawajui kupambanua mda sahihi wa kufanya Jambo.Wanasiasa wametoa tangazo la ajira tena linawahusu Hawa wa cheti hapo hapo unakuja na hili tangazo automatically watu watajua hakuna kazi Ila ni usanii.Kwa nini hawakusoma alama za nyakati...!?
Umeona eennhh!!!!,watu wenye akili za kiutu uzima tushausoma mchezo.Maamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira