Mtu akishayanywa maji ya ukada anapoteza common sense yote.Kama yapi?! Ya kumfuta mtu kazi kwa sababu ya kutangaza sera ya serikali yake mwenyewe, au?! Hivi kwa akili yenu mnaamini kabisa Naibu Waziri anaweza kuchukua uamuzi mgumu kama huo pasipo na kuridhiwa na serikali?! Pasipo na kupitishwa na Baraza la Mawaziri?!
Hujawahi anzisha uzi hapa JF weweMimi nilishaona kwamba huyu mama yuko hatarini tangia sera ilivyotenguliwa kwa simu mchana huu na kwenye uzi mwingine nikamshauri Dkt. Semakafu ajiuzulu kuliko kusubiri kutumbuliwa.
Jifunze kusoma vizuri basi. Sikusema nimeanzisha uzi..nilichangia kwenye uzi mwingine..ule ambao ulikua unaongelea uamuzi wa JPM kutengua sera.Hujawahi anzisha uzi hapa JF wewe
Ahaa
Danganya watoto wako na ndugu zako
Hujawahi anzisha uzi wowote hapa JF
Na wangekuwa wanatumia akili hapa ndo wangekuwa wanakumbuka yale tunayoambia kwamba endeleeni tu kutetea ujinga kwavile mnadhani haya ni ya wapinga CCM na serikali yake!!Mtu akishayanywa maji ya ukada anapoteza common sense yote.
Ofcourse semakafu ni kada kindakindaki..yule ukikata mshipa damu inatoka ya kijani. Ila kwa huyu no.1 hiyo siyo kitu..akiona itamsaidia kisiasa..atakutoa kafara tu.Na wangekuwa wanatumia akili hapa ndo wangekuwa wanakumbuka yale tunayoambia kwamba endeleeni tu kutetea ujinga kwavile mnadhani haya ni ya wapinga CCM na serikali yake!!
Binafsi sijawahi kumfuatilia huyu mama lakini kwa maoni niliyosoma hapa, inaonekana ni Kada Kindakindaki wa CCM lakini bado katumbuliwa bila sababu!!
Sasa seuze hawa wapiga makofi ambao bado wanaishi nyumba za kupanga kuonesha wazi wapo far away from CCM Insiders!!
Ofcourse semakafu ni kada kindakindaki..yule ukikata mshipa damu inatoka ya kijani. Ila kwa huyu no.1 hiyo siyo kitu..akiona itamsaidia kisiasa..atakutoa kafara tu.
Tena nasema hivi... hili suala lipo tangu zamani! Jiwe anachofanya ni kuwapumbaza walimu!!! Suala la kufutwa certificate lipo tangu 2014!!Mzee ana hali mbaya sana, Haiwezekani huyo Mtu mmoja Wizara nzima ndo awe ana makosa...Waziri anabakije kwenye nafasi yake? Walimu msipumbazwe
Tukisema haya wengine tunaonekana hatumpendi ila kumbe huu ndo ukweli wenyewe. Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana na watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni mtanzania mwenye akili timamu atakayempa kura yake Magufuli hapo 28 oktoba. Sioni kwa kweliDuh....ndio maana huyu mzee kupata kura za watu wenye akili ni ngumu sana.
Mambo hayawezi kwenda hivi.
Huyu mama naamini hakuamka mwenyewe na kutoa tangazo hili.
Hivi tujiulize kwa ulimwengu huu bado tunahitaji walimu wa certificate?...
Mijinga ya Lumumba hii inajitoa ufahamu. Achana nayoKama yapi?! Ya kumfuta mtu kazi kwa sababu ya kutangaza sera ya serikali yake mwenyewe, au?! Hivi kwa akili yenu mnaamini kabisa Naibu Waziri anaweza kuchukua uamuzi mgumu kama huo pasipo na kuridhiwa na serikali?! Pasipo na kupitishwa na Baraza la Mawaziri?!
But this sounds good kwa sababu kina-reflect kile kile ambacho mara kwa mara tumekuwa tukisema hapa endeleeni kushangilia udhalimu wa hii serikali kwa sababu mnadhani mkiwa ni wapiga makofi mtakuwa salama but none is safe!!!
Wewe..... 🤣 🤣Nipate kwanza sababu za kutenguliwa😎😎😎😎
Umenikumbusha wakati wa kikokotoo. Wenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo wameshamfahamu huyu Mzee.Magufuli mzee wa kutengeneza tatizo kisha anajifanya kulitatua kwa mbwembwe.
Mtu ana muda wa kufuatilia wateuliwa wake wanavyotongozana kwenye simu,ashindwe kujua haya?Kama alivyomtumia Lugola eti Lugola kasign mkataba eti yeye hajui. Wakati ule Kigwangala anagombana na mkenda wizara ya maliasili alijigamba kila taarifa analetewa na wanausalama lakini kwa Lugola eti hakujua. ANATUKERA
Naomba kiwasilisha hoja....Maamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira
Mkuu kila kitu kiko wazi. Kwanza kafanya hivyo ili kuwatisha Watendaji wengine wa Serikali kuwa bado ana nguvu na anaweza kufanya lolote dhidi yao. Hivyo basi wawe tayari kupokea maagizo toka juu hasa ktk kipindi hiki cha uchaguzi.Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..