fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Movie za kupanga nzuri sana. It was a good strategy, nilivyoona walimu wanashangilia vile nikajua kuna kura zinatafutwa paleNipate kwanza sababu za kutenguliwa😎😎😎😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie za kupanga nzuri sana. It was a good strategy, nilivyoona walimu wanashangilia vile nikajua kuna kura zinatafutwa paleNipate kwanza sababu za kutenguliwa😎😎😎😎
Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Asante kwa ufafanuzi.Wananchi kuna mambo mnayasema humu kwa kujiamini lakini hayana ukweli wowote. Semakafu siyo daktari wa tiba ya binadamu. Alikuwa mwalimu wa somo linaitwa DS, mambo ya Gender. Muhimbili ina wafagiaji, wahasibu, wafamasia, manesi, watawala nk. Siyo kila mtu Mhumbili ni daktari.
Mimi sijaelewa kilichofutwa ni kuendelea na "admission of Teaching Grade A certificate" au kufuta kabisa utambuzi wa "Holder of Teaching Grade A Certificate" kwenye ajira za walimu?Utenguzi huu unafikirisha sana, kwamba kuna haja kwenye sheria na kanuni za uendeshaji nchi kuwe na kipengele cha kumzuia mgombea urais ambaye ndiye Rais aliye madarakani kutofanya teuzi, tenguzi au maamuzi yoyote makubwa katika kipindi cha kampeni ya Urais, kwani teuzi au tenguzi hizo zaweza kushawishi uelekeo wa wapiga kura...
[emoji1787][emoji1787] We jamaa mpumbavu kweli
Seema weed tunapiga baada ya kazi leo uko high mapema sana umekosea time enjoy the smoke [emoji2957]
Maamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira
Umeandika hisia..hujui what happened behind the scenes...Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
😂😂😂Huyo Mama Masikini ya Mungu bila ya Yeye kujua kuwa kuna Watu kadhaa wa Kitengo cha Fitina na Kisununu Serikalini walitumwa Kwake ili 'wakamjaze' Upepo juu ya 'Suala' alilokuwa 'ameliamua' wakijua fika kuwa 'Big Boss' hatokubaliana nalo kwani hata Mkewe tu ( Fasti Ledi ) nae Cheti chake 'anachokimiliki' kingekuwa 'Useless' na kuwa Aibu Kwake...
Ipo kwenye ilani yao wanatumbuana kimaigizo
View attachment 1591623
Huyo ametumika kama durexMaamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira
Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.Umeandika hisia..hujui what happened behind the scenes...
Kama Lissu anamnyima usingizi sisi tunao, atuache tulale