Kwa hiyo hakuwa na idhini?...unachekesha sanaUkipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.
Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.