Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.
Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Kwa hiyo hakuwa na idhini?...unachekesha sana
 
Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.
Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Kweli mwamba hyu mama anatumiwa na MABEBERU[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.
Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Thanks kwa andiko lako hili zuri
 
Ni mpuuzi tu ndiyo naweza kumshangilia huyo jamaaa!! Kuna wakufunzi zaidi ya 500 wamefanya semina Mwanza juu ya huo mfumo mpya wa kutoa elimu kwa diploma ya ualimu wa primary, pesa za walipa kodi zimetumika kuwalipa per diem, posho 120,000 per day ×14. Pesa zimepotea bure kisa kutafuta umaarufu wa kisiasa!!!
Mbaya sana......ndio maana kazi za uteuzi ni za kibwege sana
 
Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.

Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Kwa kawaida alitakuwa kabla ya kuruka hewani aombe ridhaa ya kufanya hivyo, hata kama walijadiliana na kuazimia hivyo.

Huyu mama hana hofu anakwenda hewani huku anajua historia ya bos. Wenzake yaliwakuta halafu na yeye ameendelea kufanya yaleyale.

Halafu huyu mama alipaswa kufahamu wakati wa kusema nini na nini si cha kusema. Mtu ana msiba, yeye anadai deni ambalo lingeweza kulipwa muda mfupi tu baada ya kumaliza msiba. Ustaarabu tu.

Soma mchezo kabla ya kucheza.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Atampa cheo kizuri zaidi

ana agenda ya siri na Mama Katibu

he is a con man
 
Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali. Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Kuna uadilifu gani kwenye serikali ya magufuli? Kujenga uwanja wa ndege chato bila kufuata taratibu tena kwa kutumia kampuni ya ndugu yako Mayanga Construction ndo uadilifu?
 
Kuna uadilifu gani kwenye serikali ya magufuli??? Kujenga uwanja wa ndege chato bila kufuata taratibu tena kwa kutumia kampuni ya ndugu yako Mayanga Construction ndo uadilifu????
Ulitakajenge ubelgiji au amerika?
20201004_210220.jpg
 
Check na wizara husika ujue mradi unakamilika lini. Usikurupuke
Nikurupuke nini wakati hayo yamesemwa na mgombea ubunge wa huko kwa ticket ya CCM Joyce Ndalichako kuwa tangu Uhuru watu wa huko wanakunywa Maji ya tope?????

Kwani yeye alishindwa kucheki na wizara wakati yeye bado ni waziri ????
 
Tangu uhuru rais hakua Magufuli pekee, waliotangulia wanafanya na yeye anafanya kwa kasi zaidi
Haya nikuambie tuu kwa faida yako
20201006_115828.jpg

Serikali ihamie dodoma, hospitali zijengwe mijini na vijijini, umeme usambazwe halafu maji yakosekane??? Haiwezekani
 
Tangu uhuru rais hakua Magufuli pekee, waliotangulia wanafanya na yeye anafanya kwa kasi zaidi
Haya nikuambie tuu kwa faida yako
View attachment 1592002
Serikali ihamie dodoma, hospitali zijengwe mijini na vijijini, umeme usambazwe halafu maji yakosekane??? Haiwezekani
Kwa hiyo waziri Ndalichako alivyoongea mbele ya magufuli tena akiwa live hakuliona hili au hakuiona hii picha????

Kwani Tangu Uhuru ni serikali ya Chama gani imekuwa ikiongoza Tanzania???
 
Hapo mbwa kala mbwa.
Japokuwa kile kimama kimeonewa, lakini kile kimama kilikuwa na nyodo za kiCCM sana, kilikuwa kinajiona kimeshafika pale kisa kuteuliwa na Rais. Leo kimetumbuliwa usiku usiku. Huko kilipo lazima kipandishe sukari.

Yote kwa yote walimu walishaamua kuitosa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi huu. Oktoba 28, kichapo kipo pale pale. Magufuli ajipange kulizwa tu.
Mtu mwenye PhD na uzoefu wa kufundisha chuo kikuu unamwita 'kimama'? Mwalimu wa madaktari wa tiba Chuo kikuu MUHAS Muhimbili unamwita "kimama"? Hata kama ni wivu huu sasa ni uzezeta.
Kosa lake katika hiyo sera ni nini? Hakuitunga hiyo sera, yeye ameikuta na kuitekeleza kama ilivyoelekeza, na barua yake inajieleza vizuri. Kosa li wapi? Acheni wivu.
 
Yaani hii ishu walimtegea kabisa huyo mama

Yaonekana ana kihehrehere sana sana Sasa wakaamua wamuekee mtego[emoji1787][emoji1787]

Magufuli kala kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jitu linakwambia, "we tangaza tu hamna shida", hamna shida vp aisee, wakati nikitumbuliwa huna uwezo wa kunirudisha kazini. Tangaza mwenyewe, wewe si mkubwa kuliko mimi, mbona hutangazi.
 
Avemaria ni mwanaccm damudamu kabisa. Ni wale ambao wako tayari kuacha kupitia familia wakikimbilia mambo ya chama. Ila ni mkorofi kupindukia. Kuna watu watakuwa wamefurahia sana.
Basi ok mtashangilia na kusifu pamoja nae huko lumumba
 
Back
Top Bottom