Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

Nipate kwanza sababu za kutenguliwa๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Movie za kupanga nzuri sana. It was a good strategy, nilivyoona walimu wanashangilia vile nikajua kuna kura zinatafutwa pale
 
Hakuna shida ....Lisu ana kura moja tayari ya ziada kutoka kwa Dr Semakafu.

Dr Semakafu pia kachelewa tu, baada ya (technically) kuitwa "mpumbavu" na Rais, angejiuzulu tu......

Hapo ndipo ninapochukia wanasiasa, "kutoa kafara" sio tatizo kwao.
 
Mwenzake yupo kwenye uchaguzi yeye analeta mzaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kuna wazazi kibao wanatupa hela zao kuwasomesha watoto wao ualimu ngazi ya cheti.
Unataka mwenzio akose kula?
 
Hii ni sinema nyingine! Moja kati ya kazi ya waziri ni kusimamia sera katika wizara yake, hivi waziri, naibu waziri, ama katibu mkuu na pengine hata bosi wao Magufuri walikuwa hawalijui hili? Hizi ni hadaa kwa wananchi na walimu kuelekea October 28. Tusipokuwa makini siku hiyo tutaendelea kuchezewa kama watoto wadogo wanavyodanganywa kwa peremende
 
Kumbe ule utaratibu wa kuajiri wenye shahada waanze kufundisha toka shule za msingi walikuwa wanajishaua tu...au ilikuwa ni justification ya kuwahamisha wale walimu wa sanaa kutoka sekondari kwenda primary, haya ngoma inogile..
 

Tujuzeni ni sera gani hiyo? Sisi wengine tuko outdated sana
 
Asante kwa ufafanuzi.
 
Mimi sijaelewa kilichofutwa ni kuendelea na "admission of Teaching Grade A certificate" au kufuta kabisa utambuzi wa "Holder of Teaching Grade A Certificate" kwenye ajira za walimu?

Kuna makosa kama nchi tunayafanya kutaka wasome wote wawe na degree na kuendelea matokeo ya elimu inakuwa haina hadhi tena kwani uchumi hauna uwezo wa kuwaajiri wahitimu wote. Enzi za mwalimu vyuo vya Certificate kama Arusha Technical College, Dar es Salaam Technical College, Mbeya Technical College, Dar es Salaam School of Accountancy waliotoa wahitimu bora waliofanya vizuri sana kwenye ajira za kada za chini na kati. Leo vyuo hivi vimejikita kutoa Degree ambazo hakuna waajiri wake.

Kwangu binafsi, Unversity Graduate kufanya kazi ya "Bank Teller" sioni mantiki kwani mhitimu wa ngazi ya Cheti angetosha sana na mshahara wake ni nafuuu kulinganisha na "degree holder". Kwa muktadha huo, kijana wangu wa miaka mitatu akifundishwa na mwalimu mwenye cheti cha Montessori atamuelewa zaidi kuliko hao wa "Diploma" mnaotaka kuwaandaa
 
Upumbavu wako umezidi wangu
Najua unasubiri jioni ukanunue miguu ya kuku na utumbo wa kuku ule na familia yako
Hivi unaona hiyo ni akili?
Njoo Denmark unywe maziwa tukutoe kwashakor
[emoji1787][emoji1787] We jamaa mpumbavu kweli
Seema weed tunapiga baada ya kazi leo uko high mapema sana umekosea time enjoy the smoke [emoji2957]
 
Maamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira

Huyo Mama Masikini ya Mungu bila ya Yeye kujua kuwa kuna Watu kadhaa wa Kitengo cha Fitina na Kisununu Serikalini walitumwa Kwake ili 'wakamjaze' Upepo juu ya 'Suala' alilokuwa 'ameliamua' wakijua fika kuwa 'Big Boss' hatokubaliana nalo kwani hata Mkewe tu (Fasti Ledi) nae Cheti chake 'anachokimiliki' kingekuwa 'Useless' na kuwa Aibu Kwake.

Baada ya Mama wa Watu Kujazwa 'Upepo' na Watu wa Kitengo cha Fitina na Kisununu Serikali akisahau kuwa alikuwa 'anategwa' kwakuwa alianza Kuonyesha Uweledi zaidi hapo Wizarani na siyo 'Uswahili' na 'Mazoea' kama wafanyavyo wengine nae 'akajaa' kweli na Watu wakawahi kwa 'Big Boss' Kumshtaki na Kumshawishi 'amtumbue' jana ile ile Siku ya Walimu ambapo pia ingemjenga Kisiasa na katika 'Kampeni' hizi.

Ombi langu tu kama Wewe unajijua ni Msomi mzuri na Mweledi halafu hupendi 'Uswahili' / 'Kujikomba' ikitokea 'Ukateuliwa' nae Kataa haraka mno.
 
Umeandika hisia..hujui what happened behind the scenes...
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
HIvi inamana mgombea wao aja soma ilani yao au tatizo lipo wapi?
ndio mana ana la vitambulisho waliingia cha kike wakalegea na kufuta kauli.
 
Ni mpuuzi tu ndiyo naweza kumshangilia huyo jamaaa!! Kuna wakufunzi zaidi ya 500 wamefanya semina Mwanza juu ya huo mfumo mpya wa kutoa elimu kwa diploma ya ualimu wa primary, pesa za walipa kodi zimetumika kuwalipa per diem, posho 120,000 per day ร—14. Pesa zimepotea bure kisa kutafuta umaarufu wa kisiasa!
 
Umeandika hisia..hujui what happened behind the scenes...
Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.

Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ