ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Jk ana chembe chembe za mzee wa kazi na bataNaona mzee Kikwete kwa Magufuli sio saaana. Ni kwa vile tu alimtangulia, ila hawana ile chemistry kama aliyokuwa nayo na Mkapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jk ana chembe chembe za mzee wa kazi na bataNaona mzee Kikwete kwa Magufuli sio saaana. Ni kwa vile tu alimtangulia, ila hawana ile chemistry kama aliyokuwa nayo na Mkapa.
Hapa nimekuelewa volivyo kabisaMbona hili ni rahisi sana mkuu 'Tripo9.'
Kulia au kutolia kunategemea mawazo yako wakati unayasikia hayo maneno na jinsi huyo anayeyasikia maneno anavyomchukulia huyo aliyeyatoa maneno.
Kama msikilizaji hamwamini anayeyasema maneno, nini hasa kitamfanya alie?
Kama msikilizaji alishafanyiwa jambo la kikatili na anayetoa maneno ya kuliza, hayo maneno peke yake ndiyo yamfanye atokwe machozi bila ya kumfikiria mtu anayeyasema hayo maneno?
Kuna pia sehemu ya marehemu katika hili. Kama kulikuwepo na jambo zito sana ambalo msikilizaji hakuwa anakubaliana na marehemu, hiyo nayo inaweza kuwa sababu mhimu ya kutoamsha hisia za kutoa chozi juu yake. Kuna mambo mengine chungu nzima.
Kwa nini imebidi ucheke 😊Teh teh[emoji28][emoji28] imebidi tu nicheke wallah
Mimi ni wale wa 1982 bi mdada vepe kwani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji86]
Sorry una umri gani mkuu?
Una hisia kali sanaMimi ni wale wa 1982 bi mdada vepe kwani
Hata cha kipuuzi?😲Haitakusaidia kwa chochote
Tuna safar ndefu sanaJk ana chembe chembe za mzee wa kazi na bata
Mkapa kama binadamu yoyote wa kawaida, alichoweza ni kuomba msamaha. Ni jambo jema la kuigwa.Waliokufa aliwafufua?
Tafuta uzi humu kuhusu legacy ya mzee mwinyi uelewe kwa undani mchango wa mzee mwinyi katika taifa hili.
Atupe Tume Huru kama alivyotaka Mzee Mkapa.....!!
Kila mtu na nafasi yake, marais wetu wote wametufaa kwa namna zaoKwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
HATA AL BASHIRI WA SUDANI ALIKUWA NA JESHI. BINADAMU ANA MIPANGO YAKE NA MUNGU ANA MIPANGO YAKE.GADAFFI NAE ALIKUWA NA MIPANGO YA MIAKA MIWILI AU KUMI IJAYO LAKINI HAKUFIKA.NAE ALIKUWA NA JESHI. HATA ZANU PF YA ZIMBABWE INALAZIMISHA KUBAKIA MADARAKANI WANAIBA KURA LAKINI NCHI INAZIDI KUFA. UMEME UNAWAKA MASAA MANNE KWA SIKU NCHI INAZIDI KUFA.DOCTOR ANAPOKEA MSHSHARA DORA 70,HAO WANAJESHI NA POLISI HOI MPAKA WANAWEKA VIRAKA NGUO ZA KAZINI. HIKI CHAMA CHAKA KIKISHINDWA UCHAGUZI KIONDOKE KISITUHARIBIE NCHILisu au Membe watasubiri sana,
Kutoboa uchaguzi wa urais hapa bongo lazima uwe na support ya jeshi, kura peke yake hazipewi kipaumbele, kinyume na hapo ni kujidanganya tu.
Wananchi wa Sudani waliingia barabarani kudai mabadiliko, huwezi fananisha na watz wanaodai mabadiliko kwenye keyboard.HATA AL BASHIRI WA SUDANI ALIKUWA NA JESHI. BINADAMU ANA MIPANGO YAKE NA MUNGU ANA MIPANGO YAKE.GADAFFI NAE ALIKUWA NA MIPANGO YA MIAKA MIWILI AU KUMI IJAYO LAKINI HAKUFIKA.NAE ALIKUWA NA JESHI. HATA ZANU PF YA ZIMBABWE INALAZIMISHA KUBAKIA MADARAKANI WANAIBA KURA LAKINI NCHI INAZIDI KUFA. UMEME UNAWAKA MASAA MANNE KWA SIKU NCHI INAZIDI KUFA.DOCTOR ANAPOKEA MSHSHARA DORA 70,HAO WANAJESHI NA POLISI HOI MPAKA WANAWEKA VIRAKA NGUO ZA KAZINI. HIKI CHAMA CHAKA KIKISHINDWA UCHAGUZI KIONDOKE KISITUHARIBIE NCHI