Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Watch it!



1. Inf. Be careful.

Rachel: Watch it! There's a broken stair there. Jane: Gee, thanks. Mary: Watch it! There's a pothole in the street. Bob: Thanks.

2. Inf. Do not act or talk that way.

Sally: I really hate John! Sue: Watch it! He's my brother! Bill: You girls always seem to take so long to do a simple thing like getting dressed. Mary: Watch it!


OKW BOBAN SUNZU, hii lugha imekuja na meli kwetu sote, lakini jaribu kufuatilia tu. Sote tunajifunza.
 
Mbna povu linakutoka Mzee wa kijani kibichi
 
Watch out, watch it or watch yourself is correct. Read further at collinsdictionary.com. Kiingereza chenu cha kukariri kitawapeleka kubaya.
 
sasa mzee anataka kwenye habari atoke yeye tu
 
Nimemtuma Kinana akatibiwe, mmh kwa hiyo Kinana alikuwa haumwi? Ilibidi aumwe baada Mhe. Rais kumtuma?

Nimemtuma Zaidi ya siku 10, Umekuwa daktari wewe unajua mgonjwa anatoka lini hospitalini? Na mimi nitume huko India.

Mr. President we ARE not kids any more this 21 century know that.

Namuwazia mwanangu juu wa Tanzania atayokuja kuishi yenye mifumo mibovu na demkrasia mbovu, mifumo ya elimu ni duni mwenye uwezo kiuchumi ndio anasoma. Mwanangu tukishindwa kubadilisha hii mifumo naomba uje kuhamisisha kizazi chenu waje kuibadiisha Tanzania

Utanzania ni sawa na mkimbizi, maana kama hisia za watanzania na mawazo ya watanzania vyote kwa ujumla havisikilizwi kuna utofauti gani na mkimbizi?

Mtazidi kuwadanganya watanzania lakini hii sio kama Tanzania aliyokuwa anaingoza Hayati Nyerere au Mzee Mwinyi, viongozi hawataki kubadili staili na mifumo ya uongozi watanzania wa mwaka 1961-2000 si sawa na wa mwaka 2016, 2017 na kuendelea hii ni karne ya 21 yapasa mtambue hilo watanzania si wajinga tena mtambue hilo, watapo-onewa watapaza sauti, wakidanganywa watajua na wakikandamizwa watapaza sauti pia hata isipo sikika ndio mngojee hasira ya watanzania siku ikifika, hawataogopa polisi au jeshi au mabomu ya machozi au kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…