Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Maoga tupu yapo Ikulu hapo!
 
Sasa hio mkuu ilokua haifai manake TBC pekee ndio walikuwepo pale tuuu...saa zingine tunaona picha tuuu hamna sauti ya kaz kweel kwel

Yaani ungejua mie huyo jamaa sipendi kumsikiliza bora nimuweke Darasa kuliko jamaa
 
Kama Mkuu wa Nchi alitamka yeye mwenyewe kuwa anapenda sana kipindi cha SHILAWADU..

Kweli unategemea akiingia kwenye social media atasoma taarifa za World Bank, au IMF au UN yanayohusu Nchi yake??

Lazima atatafuta story zinazofanana na za SHILAWADU.. Basi.
 

Hahhahahaha Shemeji Baba Mkwe kakasirika.Mpe pole,mweleze tu tumechoka sinema zake za Rambo
 

Sasa si anayo Uhuru na Mzalendo
 
Analalamikia mitandao huku mwenyewe hafanyi kazi anashinda kwenye insta page ya Daudi Bashite na Lemburulazzz
 
Reactions: SDG
Nasikitika rais na yeye anashinda mitandaoni, mara zote anasema kuna umbea na udaku.
Kama yupo makini awe anasoma report za World bank, UN na IMF kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu.

Aache vyombo vya habari vifanye kazi zake
Ataweza kuzielewa hizo report za imf ? Maana si sawa Na kusoma magazette ya shigongo.
 
Hivi unaweza kumtuma mtu matibabu au umemruhusu sense matibabu?
 
Akwende huko kujiona Mungu mtu mxiuuuu utadhani hajambi,hanyagi au hatakufa
 
Nasikitika rais na yeye anashinda mitandaoni, mara zote anasema kuna umbea na udaku.
Kama yupo makini awe anasoma report za World bank, UN na IMF kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu.

Aache vyombo vya habari vifanye kazi zake
Kwani hizo ripoti zimeandikwa kwa lugha gani? Maana kama si kwa kiswahili mtamlaumu bure
 
Report zimeandikwa kiingereza hizo mkuu...
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…