CCM wengi siyo walipa kodi kabsa, kodi inalipwa na wananchi wote tena wengi ni wapinzaniMagufuli hafai kabisa kuwe kwenye nafasi ya urais. Ni mtu wa ajabu sana, hivi yeye anadhani ni rais wa CCM? anadhani kodi zinazoendesha serikali ni za wana CCM pekee? Mtu wa hovyo kabisa.
Kuanza kampeni kabla ya wakati umesaidia kujua madhaifu yake likiwemo hilo la kuwakomoa wananchi kwa kisingizio kuwa walimchagua mpinzaniBull....!! Na mnapokuwa mnasema CCM ndio imeshikilia dola na serikali inatekeleza ilani ya CCM huwa mna maana gani??
Tuonesheni maendeleo ya majimbo ya CCM ili tuamini alichosema mwenyekiti wenu. Amesahau hata “maendeleo hayana chama” ni msemo wake. Ameanza kampeni kabla hata ya kipenda.
Bikankabana!Mtu mweusi ni nyni tu
Kusema kuwa hapeleki maendeleo kwa makusudi hilo ni kosa kisheria kwani pesa za walipa kodi zimeenda wapi,?Amekuwa akitamka kauli za namna hiyo Mara nyingi sana kwenye majimbo yanayoongozwa na vyama vingine.
Ni kauli isiyokubalika na haijengi.
Kama vipi warejeshe mfumo wa chama kimoja maana naona ndio Magu anataka hivyo. Ni kutengua tu ile ibara ya Katiba inayosema kuwa Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi. Ili udikteta ukamilike.
Kukosa busara na hekima kwa kiongozi ni janga kubwa sana.
JESUS IS LORD!
Watu weusi ipo shida vichwani mwetu...Du kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Alafu akina Tundu lisu wakimsema anakasirika anamtuma Bashite na kikundi chake kwenda kumpiga risasiTuna rais wa ajabu haijawahi kutokea. TL
ile ni dharau kubwa kwa upinzani na imeonyesha kuwa hataki mfumo wa vyama vingi na amedhani maendeleo ni Hisani ya CCM ni pesa binafsi toka mfukoni mwake ni Aibu kubwa, akina mwinyi kikwete wakiona vile roho zinawaenda mbiyo sanaKwa kweli nimetazama hiyo video nimecheka ila sio kwa mazuri bali jinsi raiya wanavyonagwa kwa ubaguzi wa kichama.
Eti bakini na huyo Bwege wenu awajengee stand 🤣🤣🤣
Kwao ni Rwanda wakahamia Burundi baadae chato hizo Tabia za ubaguzi siyo za huko kwenu usukumani ni Tabia na wahutu na watusiLissu na wagombea wenzio ole wenu mshindwe kulisemea hili kwenye kampeni, tena ikibidi unganisheni video clips mtembee nazo kila mahali.
Wasukuma ni watu wa upendo sana sijui msukuma gani mbaguzi hivi huyu!
CCM wapo wengi Bungeni(ndiyo wenye majimbo mengi) , maana yake kama majimbo yao yote yangekuwa na maendeleo, Taifa lingekuwa mbali sana kiuchumi. Tunalia umasikini kila siku, changamoto ni zile zile maji, barabara, afya,elimu halafu anakuja hapa kuleta porojo za kijinga.
Sasa Mkuu toka lini fedha za road fund zikawa zinajenga stendi??
Useless dude! Look here same day same dude similar issue, contradicting statements. Ina maana tatizo la stand ya mabasi Kilwa ni la Mbunge wa upinzani, Bwege, wakati tatizo kama hilo (kutokujengwa choo cha umma kwenye soko), wilayani Kibiti, wilaya jirani ya mkoa jirani (Lindi) ni la DC na DED? Siyo kwa kuwa kuna mbunge wa upinzani katika jimbo hilo tena, maana mbunge wa Kibiti ni wa CCM, Sick!
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA
Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari
Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao
Rais Magufuli amesema haya...
Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi
Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.
Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.
Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?
Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.
Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.
Pesa za walipa kodi ndizo hutekeleza maendeleo lakini CCM huwakomoa kwa kuzuia maendeleo kwa makusudi ni aina ya matumizi mabaya ya madaraka na pesa za walipa kodi acheni ubaguzi wa maendeleoMbona hizo changamoto, kwa tafsiri ya upinzani, ni "maendeleo ya vitu"! Upinzani unataka kuleta " maendeleo ya watu". Hivyo basi, tunawasubiri kwenye majukwaa, wakati wa kampeni, watwambie Sera zao za "maendeleo ya watu" na jinsi zitakavyotelezwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo safari nzima ya uncle ilikua ni full comedy, usisahau ile "jogoo hoyeeeeeeeeee"Kwa kweli nimetazama hiyo video nimecheka ila sio kwa mazuri bali jinsi raiya wanavyonagwa kwa ubaguzi wa kichama.
Eti bakini na huyo Bwege wenu awajengee stand [emoji1787][emoji1787][emoji1787]